Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

Kuna wadada wengine sijui wakoje! Huyu nimeshindwa kuelewa nimfanye nini

amenikwaza sana................ halafu hata si kwamba tuna naniii.....wala. urafiki tu ule akiwa so bored ananitafuta n.k sasa naona kama anataka niingiza kwenye mahusiano ambayo nayakwepa kwake.
Mkuu, kwani urafiku tu unakuzuia kuchakata mbususu!! Nahisi alifanya hivyo kwa makusudi kuona kama utamuomba mbususu!!

Tumshukuru rais!
 
Huyu dada rafiki yangu wa muda toka tukiwa chuo. Jana alipenda tuonane tuweze ongea mawili matatu sababu ilikuwa ni weekend. Nilichukuana naye tukawa sehemu tunapata viburudisho then akaomba tunapoondoka tupitie somewhere nimchukulie kuku wa kuchoma. nikasema haina shida. So we went there. Akasema haina haja ya kushuka sababu alishakunywa sana so niagize tuje tukae kwenye gari, sikuona haja ya kuzima gari nikaona niache tu gari ipo on maana sipendi kufungua vioo vumbi lisije ingia ndani. so niliacha gari AC ipo on.

Nimeenda nikaagiza na kusimamia kidogo. nikarudi kumkuta amegonga gari eti alikuwa anajaribu kugeuza kabisa. Kmbe katika kurudi nyuma amegonga gari ya watu na kupasua taa ya gari yangu na ya huyo mwingine. Nimemkuta anatokwa jasho ile mbaya haelewi cha kufanya. Namuuliza why did you do that. anasema niliona tu nigeuze gari kabisa kumbe sikuangalia vizuri nyuma sijazoea kutumia Camera.

Huyu dada kwa kweli nimeshindwa kuelewa nimfanye nini maana amenipa hasara ambayo haikuwa na sababu. Jamaa imebidi nimlipe kwa ajili ya taa nami pia nikanunue taa kwa ajili ya gari yangu. Yeye amebaki tu anakodoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango. hawa watu wengine sijui waliumbwa wapi. Nilienda mshusha kwake na kuondoka sina hamu naye tena. Anatuma tu text kuwa nimsamehe tuoane tuyamalize au niende kwake tukaongee. Nami sioni cha kwenda kuongea naye. Na mimi naye nina matatizo sana na madada wa na mna hii ambao hawajielewi. Naanza hata kujionea mashaka kuwa pengine sasa mimi ndo tatizo.
Mwanaume huitaji kulialia we kula mzigo urudishie hasara iliyokupata
 
Hivi ni mimi tu humu JF ndio sina gari au kuna wenzangu?
Mkuu, kwani huwezi kuwa na gari la jamii forum utakalokuwa unalitumia kwenye nyuzi?!! Ukitoka hapo unadandia zako mwendo kasi kwenda nyumbani?

Natania tu mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
Leo ndo nimegundua kuwa kila mtu anampata wa kwendana nae! Hadi huyo dada naye ana gari!! Hii inaashiria hawezi kuwa kwenye mahusiano na kapuku!!
 
Sawa sweetheart ukirudi nakukabidhi funguo...

Ukigonga utaenda kukesha garage... Hahahaha
Hahahha na vile mafundi wako walivyo nitakesha…
Ila lazma nije kuchukua funguo nikaligonge kidogo sweetheart…
 
Hahahah ila hutaniacha salama nikiliharibu sweetheart
Nishaogopa…
Nitakuangalia alafu nitaanza kucheka...

Nikicheka mwenyewe utaanza kulia...

Kheri utakayemgonga awe mwanaume anaweza kukuhurumia, akiwa mwanamke mwenzako... Mtavutana nywele mpaka basi...
 
Nitakuangalia alafu nitaanza kucheka...

Nikicheka mwenyewe utaanza kulia...

Kheri utakayemgonga awe mwanaume anaweza kukuhurumia, akiwa mwanamke mwenzako... Mtavutana nywele mpaka basi...
Make hapo ncheke sweetheart…
Nkiwa navutwa nywele wewe uko wap sasa
Bora uniokoe tu maana costs zitaongezeka hahah
 
Make hapo ncheke sweetheart…
Nkiwa navutwa nywele wewe uko wap sasa
Bora uniokoe tu maana costs zitaongezeka hahah
Uzuri huvai mawigi upo na your long natural hair...

Huyo utakae vutana nae kama kavaa wigi ukamvua full vibutu vimejaa vigodoro...
 
Uzuri huvai mawigi upo na your long natural hair...

Huyo utakae vutana nae kama kavaa wigi ukamvua full vibutu vimejaa vigodoro...
😆😆😆😆😆sweetheart usinichekeshe usiku wote huu…
Wewe jua akinipiga tu gharama zitaongezeka sweetheart hehehehe
 
😆😆😆😆😆sweetheart usinichekeshe usiku wote huu…
Wewe jua akinipiga tu gharama zitaongezeka sweetheart hehehehe
Hutapigwa kugonga sii ni Bahati mbaya na ajali haina kinga...

Mtavutana vutana tu Kwa maneno na nywele kidogo...
 
Back
Top Bottom