Kuna wahenga mnaokumbuka hili tangazo la UKIMWI la kwenye TV?

Hii kitu zaman ilikuwa inakula kitu na cycle yake.
Dawa za ARVs zimesaidia sana.
 
Weeeh
 
Alile tangazo la ishi ndio lilikiwa lenyewe... Usione soo sema nae kuhusu kusubiri, kuwa muaminifu au kutumia condom. Dah hapo nipo chuo mwaka wa mwisho
 
Watu mnpenda kutishan kwenye mmbo ambayo wala sio ya kutishana.
Jamani kisukari ni nomaa ngoma haifui dafu.
Tufanye mazoezi na tuache misoda. Kisukari hadi kibamia hakisimami
Yeah,
Mwituni anavuma simba ila kuna wanyama wakali simba anasubiri, sukari inaua macho, inaua figo inaleta uhanisi, amputation, ni hatari sana
 
Kijana naona unajipa moyoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Nishaanza kuvurugwa hapa..
Nipo google huku mwenzako...
Sema bana weee ujue nn huyu antiel yupo poa et πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ikabidi nipime mkuu, zaidi ya hospital kama tano , ndio ikawa mara yangu ya kwanza kunywa pombe, kumbe binti wa watu wala hakua na chochote , sasa ivi ni mke wa mtu na ana watoto kibao tu.
Kuna ukurasa umeuchana minπŸ˜‚πŸ˜‚
 
mzabzab wee ndio mwana sasa...

Kuna watu wanakamia hapa nimshawishi ant etu akapime na unajua fika kitendo cha kumwambia hayo mambo ni kama ushapoteza tatu muhimu.....

Sasa hapa mkuu ni mwendo huu huu ni humuuu tuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€œπŸ€œπŸ€œ
 
Ikabidi nipime mkuu, zaidi ya hospital kama tano , ndio ikawa mara yangu ya kwanza kunywa pombe, kumbe binti wa watu wala hakua na chochote , sasa ivi ni mke wa mtu na ana watoto kibao tu.
Kuna baadhi ya watu wakikataliwa huanza kampeni ya kumchafua aliemkataa kwa style hiyo ya kusema ameungua. Inawezekana huyo mshkaji ndio tabia yake.
 
Yeah,
Mwituni anavuma simba ila kuna wanyama wakali simba anasubiri, sukari inaua macho, inaua figo inaleta uhanisi, amputation, ni hatari sana
Kweli mwanawane kisukari balaaa acha kabisa.
Mambo ya kubiwa huwezi kunywa pepsi baridi jamani sii mateso hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…