Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Kuna wakatoliki wana aibisha ukatoliki.

Wale jamaa na askofu wao walijilatia fedha za magumashi na wakagawana kwenye viroba humohumo kanisani.

Baada ya kubasnishwa wengine wakazitema
 
Sidhani kama matendo ya mtu binafsi unaweza kuyahusisha na Dini,mijadala kama hii haina afya sana Kwa jamii........
 
Mkuu wangu ipo hivi
Hayo majina wa Waislam siyo kigezo kwamba dini anayotoka mtu inachafuka.

DIni haiingii Mbinguni bali mtu kwa imani yake kwa Mungu. Sisi wakristo ndiyo vinara wa unafiki na ubaguzi mkubwa duniani na pia wabinafsi tuliopitiliza.

NINI CHA KUFANYA
  1. Nyooshea kidole nafsi yako na si kuisuta nafsi isiyo yako.
  2. Tabia ya mtu ndiyo itakayombeba au kumuangusha na siyo dini wsla imani yake
  3. Usichukie uwepo wa mtu mwingine hasa asiye nasaba yako kwa sababu kila binadamu anamhitaji mwenzake ili gurudumu la maisha lisonge mbele
  4. Omba sala ya toba
 
Mkuu wangu ipo hivi
Hayo majina wa Waislam siyo kigezo kwamba dini anayotoka mtu inachafuka...
Ukisema uihukumu dini kupitia watu wenye maovuu ya dini flani hii inonesha kuwa ww pia n mdini
 
Mleta mada natumae ulipata miongozo yao...
 
hakuna ndoa ya kafiri na muisilam wewe tambua
Zipo nyingi sanaa na ndo imefanya jamii kutokuwa na misimamo mikali ya udini (uislamu/ukristo) kwa hapa Tanzania bara
 
Kwa Nini Muhammad alikuwa Govinda , hakukatwa govi ?
muhammad hakuwa mungu,nyiyi mnasema yesu ni mugu huyo mungu wenu wa ajabu sana kakatwa govi kavaa nguo za vichanga kanyoyo
 
tatizo linaanzia hapo. Hata mashekhe wanasapoti upande fulani wa kisiasa hakuna dini sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…