Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Kuna Waislamu wanachafua Uislam

Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Kuna wakatoliki wana aibisha ukatoliki.

Wale jamaa na askofu wao walijilatia fedha za magumashi na wakagawana kwenye viroba humohumo kanisani.

Baada ya kubasnishwa wengine wakazitema
 
Sidhani kama matendo ya mtu binafsi unaweza kuyahusisha na Dini,mijadala kama hii haina afya sana Kwa jamii........
 
Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
Mkuu wangu ipo hivi
Hayo majina wa Waislam siyo kigezo kwamba dini anayotoka mtu inachafuka.

DIni haiingii Mbinguni bali mtu kwa imani yake kwa Mungu. Sisi wakristo ndiyo vinara wa unafiki na ubaguzi mkubwa duniani na pia wabinafsi tuliopitiliza.

NINI CHA KUFANYA
  1. Nyooshea kidole nafsi yako na si kuisuta nafsi isiyo yako.
  2. Tabia ya mtu ndiyo itakayombeba au kumuangusha na siyo dini wsla imani yake
  3. Usichukie uwepo wa mtu mwingine hasa asiye nasaba yako kwa sababu kila binadamu anamhitaji mwenzake ili gurudumu la maisha lisonge mbele
  4. Omba sala ya toba
 
Kwa Nini Muhammad alikuwa Govinda , hakukatwa govi ?
muhammad hakuwa mungu,nyiyi mnasema yesu ni mugu huyo mungu wenu wa ajabu sana kakatwa govi kavaa nguo za vichanga kanyoyo
 
Mimi ni catholic lakini kwenye ukweli lazima tuseme

zimepita awamu Kama 5 hivi Ila kila awamu watu wenye majina ya kiislamu ndio utajwa hasa kwenye kashifa za madawa ya kulevya na uhujumu uchumi.

pia fatilia majina ya Panya road dsm wengi wao ukifatilia utakuta Wana majina ya kiislamu.

Imagine mtu aliyeenda kuhiji maka halafu leo anahusishwa na uuzaji na usambazaji wa madawa ya kulevya zaidi ya kilo 30?

Hii imekaaje uislamu umeingiliwa au ni kawaida!!

Angalia ile list of shame, waislamu ni wangapi? Mwangalie Rostam Azizi na mambo ya Dowans, Mwangalie Mo na kashifa ya wizi wa mashamba Ya mkonge tanga, Mwangalie Yusuf Manji na Kashifa ya madawa ya kulevya kuyatumia,

Mwangalie Nazir Kalamagi na Kashifa za ufisadi Tanesco!!

Angalia kikundi Cha watu waliochota pesa za escrow bank ya stanibic ambazo ni zaidi ya bilion 200 tafuta majina yao ndio utaelewa!!!.

Tumekuwa tukiaminishwa uislamu dini ya haki lakini waumini wake mbona ndio wanaongoza Sana kuhujumu uchumi wa taifa letu?

Halafu kwa unafiki mashehe wanakumbatia watu hatari wanaoiba pesa na kuzipeleka kujengea misikiti na kuwapa twatendaji wa taasisi!!

Sisemi Wakristo sio wezi hapana ni wezi maana hata escrow walipewa mgao mpaka mapadri lakini kiukweli mali za waislamu wengi matajiri ukifatilia unakuta ni uozo mtupu.

Shida nini ukitaka kudhibitisha ilo fanya research ya majambazi wanaokamatwa na majina yao au Panya road na majina yao au wauza madawa na majina yao utarudi hapa na kusema Hawa watu ni kiasi gani wanauchafua uislamu.
tatizo linaanzia hapo. Hata mashekhe wanasapoti upande fulani wa kisiasa hakuna dini sahihi
 
Back
Top Bottom