Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji38]Uzae sasa sio unajifunza halafu unaogopa leba[emoji28]
Ni mtihani huo..
Nawaza tu sijui itawezekana[emoji16],,,kunanihii tu ni mtihani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]Uzae sasa sio unajifunza halafu unaogopa leba[emoji28]
Inamaana bado hujananiliu tu ๐[emoji38]
Ni mtihani huo..
Nawaza tu sijui itawezekana[emoji16],,,kunanihii tu ni mtihani.
NonsenseI hope sio single Maza.
Ni kipaji aisee!Inamaana bado hujananiliu tu [emoji28]
Unahitaji maombi mazito ๐ nyie ndio mnaokuja kusumbua watu kwenye ndoa huku! Unaanza kuonjwa onjwa hovyo hebu jifunze funze mapema bana wee alaah!Ni kipaji aisee!
Kuna mambo lazima tu tukubali kuna watu wazembe...yatupite.
Zoezi ni gumu.
Hongera sana sana, kuna mbuzi moja ilikuja hapa juzi inatutangazia kuwa inakwenda kula mimba ya miezi minne kisa Huyo Malaya mwenzie anahisi kamnunuiaWell, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.
Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana ๐๐) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!
Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!!๐ Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team๐ช๐พ๐ช๐พ I honestly couldn't ask for better kids. ๐
Happiest birthday to my little dude ๐ฅณ๐ฅณ
View attachment 1968720View attachment 1968721
Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.๐คท๐พโโ๏ธ๐คท๐พโโ๏ธ
Kuna kapicha Fulani hivi kanakuja na kupotea Sio?Congratulations ๐๐พ Lizzy Mimi naomba tu uondoe hiyo mask kisha unitumie hiyo picha pm. You made the right decision and now you are very proud of your decision despite all the difficulties that you went through. I too I am very proud of your decision. ๐๐ฅ๐
Basta bana ๐๐๐Unahitaji maombi mazito ๐ nyie ndio mnaokuja kusumbua watu kwenye ndoa huku! Unaanza kuonjwa onjwa hovyo hebu jifunze funze mapema bana wee alaah!
Unatamani mwingine?? Nisalimie Uncle wanguShida watoto wakishakua.
Akishafikisha miaka 4 mitano hivi.
Umajikuta unamiss alivyokuwa mdogo zaidi ya hapo na kutamani mwingine.
Happy birthday kijana wa lizzy.
Mama wawili.
Thanks Amu!๐คShida watoto wakishakua.
Akishafikisha miaka 4 mitano hivi.
Umajikuta unamiss alivyokuwa mdogo zaidi ya hapo na kutamani mwingine.
Happy birthday kijana wa lizzy.
Mama wawili.
[emoji23]Unahitaji maombi mazito [emoji28] nyie ndio mnaokuja kusumbua watu kwenye ndoa huku! Unaanza kuonjwa onjwa hovyo hebu jifunze funze mapema bana wee alaah!
[emoji7]kumbeLizzy hongera mama Mungu akutunzie malaika wako.kuwa mama ni raha sana..nikiwaaangalia vijana wangu napata furaha ya ajabu mno mno.najivunia kuwa mama wa vijana wawili [emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Eti eeh[emoji23]
Acha mawazo hasi,,,usumbufu ni tabia ya mtu.
Matumaini yako yamechelewa KakaJambazi maana ndio ishakuwa sasa!๐I hope sio single Maza.
Anazingua huyu mtotoBasta bana ๐๐๐
Una rangi adimu Sana, ndio ugonjwa wangu.Matumaini yako yamechelewa KakaJambazi maana ndio ishakuwa sasa!๐
Uzuri wa madem wa kibongo wanapenda watoto wa wenzao ila wao wanatoa mimba hovyo! Yani mtoto wa Lizzy alivyosifiwa hapa balaa ila sasa wao kuzaa ndio ishu ๐ ๐ ๐Lizzy hongera mama Mungu akutunzie malaika wako.kuwa mama ni raha sana..nikiwaaangalia vijana wangu napata furaha ya ajabu mno mno.najivunia kuwa mama wa vijana wawili ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
Thanks BAK ๐๐๐พ๐๐พ Means a lot....Congratulations ๐๐พ Lizzy Mimi naomba tu uondoe hiyo mask kisha unitumie hiyo picha pm. You made the right decision and now you are very proud of your decision despite all the difficulties that you went through. I too I am very proud of your decision. ๐๐ฅ๐