Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Labda hawajampata mtu wa kupata nae mtoto.

Basta si rahisi sana kuwa singo mama ujue
Hahahahah sio rahisi kama una mentality ya “mwanaume lazma anihudumie” ila wapo wanawake ambao they have managed themselves and raised their kids vyema kabisa without their first guys. Yote ni kwa sababu they have independent kind of life.

Dunia inapoenda we will have alot of single mothers sababu ya utandawazi huu! Watu hawataki ku behave responsibly na ndio mana we will have alot of single mothers so kizuri ni kwa watoto wa kike kujiandaa tu!
 
Kuna vitu vingi sana vya kuangalia katika malezi ya mtoto basta..

Nafikiri kila kitu hutokea kwa sababu lakini trust me ningepewa nafasi ya kuchagua basi nisingechagua kuwa singo mama.

Hawa watoto wetu wanamaswali mno aiseh..kuna wakati vijana wanaweza kukuuliza swali ukajikuta unakuna kichwa una mjibu nini🙃
 
Hongera.

Inafurahisha kusikia mzazi wa Kitanzania anaongelea kuhusu kipaji cha mtoto wake, zamani sisi tulikuwa tunakatazwa kucheza mpira au kuruka sarakasi eti tutavunjika.Vipaji vyetu vilizikwa na wazazi wetu.

Sasa hivi kipaji siyo tu ni ajira bali ni utajiri ,wazazi pamoja na kuwapa elimu watoto wetu pia tuviendeleze vipaj vyao kwa kuwanunulia vifaa,kuwalipia gharama za mafunzo ya vipaji vyao nk.

Leo hii mchezaji mpira wa zamani wa Simba Luis Miquesone 'Konde boy' analipwa zaidi ya milioni 95 kwa mwezi na anacheza hapa hapa Afrika je akienda Ulaya?
 
Ndezi United!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hahahahah sio rahisi kama una mentality ya “mwanaume lazma anihudumie” ila wapo wanawake ambao they have managed themselves and raised their kids vyema kabisa without their first guys. Yote ni kwa sababu they have independent kind of life.

Dunia inapoenda we will have alot of single mothers sababu ya utandawazi huu! Watu hawataki ku behave responsibly na ndio mana we will have alot of single mothers so kizuri ni kwa watoto wa kike kujiandaa tu!
Sio single mothers tu....hata single fathers!!

Washkaji zangu kibao wamelea watoto wao mpaka wamekuza on their own.

Single parenthood sio kitu cha kusifia ila ni kitu ambacho hakiepukiki nyakati zingine.

People change & priorities shifts....so inafika mahali kuachana kunakuwa ni muhimu kwa afya nzuri ya akili, hisia na mwili kwa wahusika wote kuanzia mama, baba hadi mtoto. Familia/couple zenye ugomvi ndani huwa sio nzuri kwa makuzi ya mtoto hata kidogo. Psychologically tunawaumiza sana!! Sema ndo hivyo tena....wengi hutaka kuiridhisha jamii huku wakiteketeza nyumba zao ndani kwa ndani.😏
 
Kuna vitu vingi sana vya kuangalia katika malezi ya mtoto basta..

Nafikiri kila kitu hutokea kwa sababu lakini trust me ningepewa nafasi ya kuchagua basi nisingechagua kuwa singo mama.

Hawa watoto wetu wanamaswali mno aiseh..kuna wakati vijana wanaweza kukuuliza swali ukajikuta unakuna kichwa una mjibu nini🙃
Eeh watoto wako Curious sana kuna maswali ambayo faza of the nation angeweza yajibu ila mama inakuacha katika tafakuri nzito!

Tukiwaambiaga baba ni muhimu hata akiwa hana mchango mkubwa sana kifedha ila awepo tu mnalipukaga kama chemli ilioingia maji kwenye utambi!

Wanaume wengi wanakimbiaga sababu wanakuwa hawako financially stable by the time ila akija kupata ahueni tayari ulishamfurusha na mnamuwekea ngumu kuwa alikimbia mtoto. This is totally wrong baba ni muhimu kuwa nae!
 
Back
Top Bottom