Hongera.
Inafurahisha kusikia mzazi wa Kitanzania anaongelea kuhusu kipaji cha mtoto wake, zamani sisi tulikuwa tunakatazwa kucheza mpira au kuruka sarakasi eti tutavunjika.Vipaji vyetu vilizikwa na wazazi wetu.
Sasa hivi kipaji siyo tu ni ajira bali ni utajiri ,wazazi pamoja na kuwapa elimu watoto wetu pia tuviendeleze vipaj vyao kwa kuwanunulia vifaa,kuwalipia gharama za mafunzo ya vipaji vyao nk.
Leo hii mchezaji mpira wa zamani wa Simba Luis Miquesone 'Konde boy' analipwa zaidi ya milioni 95 kwa mwezi na anacheza hapa hapa Afrika je akienda Ulaya?