Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcourse sio kitu cha kusifia ila dah! I never wish for that atleast basi muwe mna co-parent tu for the sake of the kidsSio single mothers tu....hata single fathers!!
Washkaji zangu kibao wamelea watoto wao mpaka wamekuza on their own.
Single parenthood sio kitu cha kusifia ila ni kitu ambacho hakiepukiki nyakati zingine.
People change & priorities shifts....so inafika mahali kuachana kunakuwa ni muhimu kwa afya nzuri ya akili, hisia na mwili kwa wahusika wote kuanzia mama, baba hadi mtoto. Familia/couple zenye ugomvi ndani huwa sio nzuri kwa makuzi ya mtoto hata kidogo. Psychologically tunawaumiza sana!! Sema ndo hivyo tena....wengi hutaka kuiridhisha jamii huku wakiteketeza nyumba zao ndani kwa ndani.😏
🙂🙂🙂Hongera.
Inafurahisha kusikia mzazi wa Kitanzania anaongelea kuhusu kipaji cha mtoto wake, zamani sisi tulikuwa tunakatazwa kucheza mpira au kuruka sarakasi eti tutavunjika.Vipaji vyetu vilizikwa na wazazi wetu.
Sasa hivi kipaji siyo tu ni ajira bali ni utajiri ,wazazi pamoja na kuwapa elimu watoto wetu pia tuviendeleze vipaj vyao kwa kuwanunulia vifaa,kuwalipia gharama za mafunzo ya vipaji vyao nk.
Leo hii mchezaji mpira wa zamani wa Simba Luis Miquesone 'Konde boy' analipwa zaidi ya milioni 95 kwa mwezi na anacheza hapa hapa Afrika je akienda Ulaya?
📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌Eeh watoto wako Curious sana kuna maswali ambayo faza of the nation angeweza yajibu ila mama inakuacha katika tafakuri nzito!
Tukiwaambiaga baba ni muhimu hata akiwa hana mchango mkubwa sana kifedha ila awepo tu mnalipukaga kama chemli ilioingia maji kwenye utambi!
Wanaume wengi wanakimbiaga sababu wanakuwa hawako financially stable by the time ila akija kupata ahueni tayari ulishamfurusha na mnamuwekea ngumu kuwa alikimbia mtoto. This is totally wrong baba ni muhimu kuwa nae!
Ni pm.Mtoto natamani sana
Ila nampataje?ndio tatizo lipo hapo[emoji38].
Nakubali nakubali 😅Ni pm.
Co-parenting ni mpango mzima 💯Ofcourse sio kitu cha kusifia ila dah! I never wish for that atleast basi muwe mna co-parent tu for the sake of the kids
NakaziaEeh watoto wako Curious sana kuna maswali ambayo faza of the nation angeweza yajibu ila mama inakuacha katika tafakuri nzito!
Tukiwaambiaga baba ni muhimu hata akiwa hana mchango mkubwa sana kifedha ila awepo tu mnalipukaga kama chemli ilioingia maji kwenye utambi!
Wanaume wengi wanakimbiaga sababu wanakuwa hawako financially stable by the time ila akija kupata ahueni tayari ulishamfurusha na mnamuwekea ngumu kuwa alikimbia mtoto. This is totally wrong baba ni muhimu kuwa na
Uelezee uhalisia wako ndio itakua poa.Co-parenting ni mpango mzima 💯
Sema kwa wengi ni ngumu kutokana na hurt feelings & kutokuwa tayari ku-let go and move on. Maybe nije na hiyo mada soon ili tuijadili kwa kina.🤷🏾♀️
Thats wise, ego ndio inafanya hili kuwa gumu ila kimsingi if things aint working it only takes wise adults kutambua kuwa life can go on na mkalea vyema tu. What ends ni ile intimate relationship yenu but watoto mnawa attend vizuri tu kila mmoja kwa nafasi yake yani na hawawezi feel ile gap sababu mnaongea vizuri tu na kujadiliana how to build up the kids future.Co-parenting ni mpango mzima 💯
Sema kwa wengi ni ngumu kutokana na hurt feelings & kutokuwa tayari ku-let go and move on. Maybe nije na hiyo mada soon ili tuijadili kwa kina.🤷🏾♀️
Mh mjumbe, ile ni nguvu ya soda mweleka ndio ilinipa ujasiri...😜Mh mjumbe naona umevunja vitenesi kabisa. Hahha
Mzee wangu alikua mtata tu, hata pasipo hitaji utatanishi...😜Ushimen punguza ukali baba....kuzaa sio kosa kabisa in my opinion. Hiyo ilikuwa reference tu ya mada inayohusiana na wale ambao hujiachia alafu baadae wanaanza kudai "mimba imetokea bahati mbaya" kisha ku-opt kutoa n.k
PS.
Natamani kuelewa kwanini mzee wako alikuwa akipenda kusema hivyo 🙂
Hakuna kwenye kupelekewa Moto.Kwani kuna ubaya???😏😏
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ndezi United!
Dah[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ah hilo zoezi la mtoto kuingia nimelisoma hadi uzee wangu huu ila siliweziYani hujui mtoto unampataje toka la 6 umefundisha form 3 ukafundishwa tena hujui tu mtoto anapatikanaje? [emoji23][emoji23][emoji23]