Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

Yes that’s my intention Lizzy. I am waiting.
πŸ™πŸΎπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ

Thanks BAK πŸ˜ŠπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ Means a lot....

😁😁😁 Unataka kutuchorea portrait kwaajili ya birthday???
 
Eeh watoto wako Curious sana kuna maswali ambayo faza of the nation angeweza yajibu ila mama inakuacha katika tafakuri nzito!

Tukiwaambiaga baba ni muhimu hata akiwa hana mchango mkubwa sana kifedha ila awepo tu mnalipukaga kama chemli ilioingia maji kwenye utambi!

Wanaume wengi wanakimbiaga sababu wanakuwa hawako financially stable by the time ila akija kupata ahueni tayari ulishamfurusha na mnamuwekea ngumu kuwa alikimbia mtoto. This is totally wrong baba ni muhimu kuwa nae!
Hakuna baba asiye na umuhimu.

Baba ni muhimu sana nasisitiza zaidi hasa kwa mtoto wa kiume πŸ₯Ί
 
Hakuna baba asiye na umuhimu.

Baba ni muhimu sana nasisitiza zaidi hasa kwa mtoto wa kiume πŸ₯Ί
Yani akiwepo mtu tu wa kutoa kauli we acha hio! Wewe usirudie hilo ntakutandika sasa hivi. Kwanini hujafika shule siku 2, makwenzi koh koh!

Mtoto anakuwa na nidhamu maana anajua mshua hana masihara. Ila kwa mama mtoto wa kiume akiwa mtukutu tu basi ujue ana haribika! Japo kuna watoto wanazaliwa wana busara toka wadogo ila ukipata toto bange bange utaisoma namba!
 
Asante..na wewe utafute mtoto sasa umri unaenda hivyoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mweeee,ngoja tufanye jambo na shem darling wako,sijui ataniweza[emoji16][emoji13]
 
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa dogo. Hongera kwa kulea.

It's a good thing that you accepted that you were irresponsible but decided to be a responsible parent.

I wish you all, the best of luck.
 
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.

Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana πŸ™„πŸ™„) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!

Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!!😊 Kanacheza sana mpira and he is the captain of his teamπŸ’ͺ🏾πŸ’ͺ🏾 I honestly couldn't ask for better kids. πŸ˜‡

Happiest birthday to my little dude πŸ₯³πŸ₯³
View attachment 1968720View attachment 1968721

Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.πŸ€·πŸΎβ€β™€οΈπŸ€·πŸΎβ€β™€οΈ
ukimwaga ugali na mboga no worries!

ukimwaga chai tafadhali ni-tag. Chai sio ya kukosa!
 
Happy Birthday to your Lil Man beautiful lovely Lizzy.

We do our best and God does the rest.

Waiting eagerly for your threads, tag me in each of them.
 
Back
Top Bottom