Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love 🤗

Mama mchungaji Yani hii ishu ya watoto ni nzito sana ☹️Sikuwahigi kuelewa mpka pale nilipowapata wale vijana aiseh Baba ni baba hakuna baba mbaya..ila tunatokea kutamka maneno mabaya kwa baba watoto zetu kwakuwa moyo unakuwa umezingirwa na uchungu + hasira.Mungu atusaidie kwakweli
 
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.

Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!

Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!!😊 Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team💪🏾💪🏾 I honestly couldn't ask for better kids. 😇

Happiest birthday to my little dude 🥳🥳
View attachment 1968720View attachment 1968721

Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.🤷🏾‍♀️🤷🏾‍♀️
Vunja na dining table kabisaa
 
Lizzy Mungu akupe maisha marefu yenye afya tele; uyaone, na kula matunda ya uzao wa tumbo lako. Watoto wako wakakuvike taji ya heshima; kwa wao mama yao ukaitwe "mbarikiwa". Watoto wako hawatokutesa, wala kukufanya uone aibu,wala kuwa jaribu la maisha yako IJN. You are blessed
Jamani Heaven Sent 🤗🤗🤗 Thank you for the lovely ujumbe.😘😘😘

Inshallah Mungu akasikie na kutenda sawa sawa !😇😇
 
Mpenzi hawa kina KakaJambazi tuishie kuwaangalia tu. Kutilia maoni yao maanani ni kujitakia stress sizizotuhusu 🥴🥴

Btw...thank you for the birthday wishes!🤗😘
I hope you & yours are doing great!!!
Ishu inakuja, huyo huyo anayekupa stress na ukaamua ku-move on, bado ataendelea kukuambukiza ujauzito.
 
Back
Top Bottom