Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday kijana wa lizzyWell, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.
Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana [emoji849][emoji849]) I got pregnant. Nikaamua kuwa if I was irresponsible enough to the point of getting pregnant at such a young age...I might as well start by holding myself accountable, so....I did!
Anyway, leo dogo anatimiza miaka kadhaa and I'm happy & proud I made the decision I made! No idea what will become of him 10 or 20 yrs mbeleni but right now....he is an awesome kid!![emoji4] Kanacheza sana mpira and he is the captain of his team[emoji1491][emoji1491] I honestly couldn't ask for better kids. [emoji56]
Happiest birthday to my little dude [emoji3060][emoji3060]
View attachment 1968720View attachment 1968721
Maybe one day (for the sake of educating & inspiring others) I'll write an autobiography nimwage ugali, mboga mpaka chai.[emoji2376][emoji2376]
Watu huwa wanawanyoshea mikono wakati unapojulikana tu na ujauzito..watoto wakikua watu haohao huwa wa kwanza kuwatamani.Jamani watu8 kwani unanini?
Tumuombee heri afunge ndoa ampate mtoto ndani ya ndoa.asipite huku tunakokusimulia sasa[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
HakikaUsijali mwaya....
Nna ndoto ya ku-adopt ka baby girl mbeleni Mungu akijalia so tutaenda wote na wewe upate wako [emoji16]
Nakuelewa vizuri mno mpenzi; wengine unakuta uchungu na hasira zote anazihamishia kwa watoto daah. Aisee kuachana sio kazi ndogo; hata kama hamna watoto. Mtu anapokuwa sehemu ya maisha yako, afu unaamka tu siku moja unatakiwa umuachilie na umsahau, uendelee na maisha yako mmh. Bora hata msipokuwa na watoto; usipokuwa unamuona au kuongea naye, roho inatulia; imagine mtu kakuumiza, hata hujapona na bado unatakiwa uendelee kuwasiliana naye kwa amani tu kwa ajili ya watoto wenu. Ukute mwingine mpuuzi, pamoja na kujishusha kwako kwa ajili ya watoto, bado anakuumiza aiseeMama mchungaji Yani hii ishu ya watoto ni nzito sana [emoji3525]Sikuwahigi kuelewa mpka pale nilipowapata wale vijana aiseh
Baba ni baba hakuna baba mbaya..ila tunatokea kutamka maneno mabaya kwa baba watoto zetu kwakuwa moyo unakuwa umezingirwa na uchungu + hasira.Mungu atusaidie kwakweli
Jamani Heaven Sent [emoji847][emoji847][emoji847] Thank you for the lovely ujumbe.[emoji8][emoji8][emoji8]
Inshallah Mungu akasikie na kutenda sawa sawa ![emoji56][emoji56]
Anne nikajua ndo zawadi kwa siku hii special 🤔🤔Sabuni ya rohoView attachment 1969352
Dah nikajua niko selfika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Anne nikajua ndo zawadi kwa siku hii special [emoji848][emoji848]
Mungu aendelee kumtunza baba wa watoto wangu aiseh Mungu azidi kumpa maisha marefu yenye furaha na amani huko alipo🙏Hatuwezi kuwa pamoja hata iweje...Haiwezekani .Mungu amtunze huyu kiumbe anajua thamani ya watotoNakuelewa vizuri mno mpenzi; wengine unakuta uchungu na hasira zote anazihamishia kwa watoto daah. Aisee kuachana sio kazi ndogo; hata kama hamna watoto. Mtu anapokuwa sehemu ya maisha yako, afu unaamka tu siku moja unatakiwa umuachilie na umsahau, uendelee na maisha yako mmh. Bora hata msipokuwa na watoto; usipokuwa unamuona au kuongea naye, roho inatulia; imagine mtu kakuumiza, hata hujapona na bado unatakiwa uendelee kuwasiliana naye kwa amani tu kwa ajili ya watoto wenu. Ukute mwingine mpuuzi, pamoja na kujishusha kwako kwa ajili ya watoto, bado anakuumiza aisee
Na hizi co-parenting zetu za kibongo ndiyo mtihani kabisa. Most likely mzazi wa kulea atabaki mmoja, na mwingine atalea zaidi kwa simu financially. Mzazi mwenza akishapata familia, mara nyingi concentration yoyote inahamia kwa familia anayoishi nayo; huku kwingine atapiga simu siku moja moja basi. Kazi kubwa inabaki kwa wewe uliyebaki na watoto; ndiyo maana kuna baadhi ya wazazi wanaamuaga kusitisha suala zima la mahusiano mapya/ndoa hadi pale watoto wanapokuwa wakubwa kidogo. Mungu atusaidie kukubaliana na hali zote, kusameheana na kuchukuliana kwa ajili ya welfare ya watoto wetu.
Mungu aendelee kumtunza baba wa watoto wangu aiseh Mungu azidi kumpa maisha marefu yenye furaha na amani huko alipo[emoji120]Hatuwezi kuwa pamoja hata iweje...Haiwezekani .Mungu amtunze huyu kiumbe anajua thamani ya watoto
Mtumishi ,unawaza mambo ya kuconvert kweli!?;[emoji38]Ohoo basi tufate hiyo nyingine then "tutaconvertia" kwenye ndoa mbeleni wala hakuna tatizo....
Kweli!??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Zipo zakutosha....yani wewe tu [emoji846]
Iwe hivyo[emoji120][emoji16][emoji16][emoji847][emoji847]
Thanks Anne [emoji8] Mungu awasaidie na ukubwani wawe watu wakueleweka Inshallah!!
Khee..! basi kaasilimimi nataka mtoto ila sitaki process yake
mtumishi haya mambo tutaongea wenyewe tu mbona ivyo...😁Mtumishi ,unawaza mambo ya kuconvert kweli!?;[emoji38]
Bwana na akupe hitaji lako mpendwa.mtumishi haya mambo tutaongea wenyewe tu mbona ivyo...[emoji16]
nawe pia.Bwana na akupe hitaji lako mpendwa.