Kuna wakati kufanya kosa sio kosa....Happiest Birthday to my 1st love πŸ€—

Hongera sana sana, kuna mbuzi moja ilikuja hapa juzi inatutangazia kuwa inakwenda kula mimba ya miezi minne kisa Huyo Malaya mwenzie anahisi kamnunuia
 
Kuna kapicha Fulani hivi kanakuja na kupotea Sio?
 
Shida watoto wakishakua.
Akishafikisha miaka 4 mitano hivi.
Umajikuta unamiss alivyokuwa mdogo zaidi ya hapo na kutamani mwingine.

Happy birthday kijana wa lizzy.

Mama wawili.
Thanks Amu!πŸ€—

Haki baby fever is real πŸ₯΄πŸ₯΄ Watoto wadogo wana raha sana jamani. Alafu tusivyoridhika sasa....huku unatamani akue umuone akifikisha 10..15...20 huku unatamani kaendelee kuwa katoto ☺😁😁
 
Lizzy hongera mama Mungu akutunzie malaika wako.kuwa mama ni raha sana..nikiwaaangalia vijana wangu napata furaha ya ajabu mno mno.najivunia kuwa mama wa vijana wawili πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°
Uzuri wa madem wa kibongo wanapenda watoto wa wenzao ila wao wanatoa mimba hovyo! Yani mtoto wa Lizzy alivyosifiwa hapa balaa ila sasa wao kuzaa ndio ishu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Thanks BAK πŸ˜ŠπŸ™πŸΎπŸ™πŸΎ Means a lot....

😁😁😁 Unataka kutuchorea portrait kwaajili ya birthday???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…