Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

Yaani pesa inaingia Kwa tabu na ikitoka inatoka Kwa haraka na Kwa ulainiii...mtu anapokea mishahara Hadi siku 30 au 20 zipite lakini kuisha inaweza kuwa ni masaa tu au mawiki...Spend wisely.
 
Na ukiangalia ulichoifanyia pesa hamna zaidi ya ku clear madeni...
 
Tumia hekima pale mambo yakiwa mazuri weka AKIBA ya kutosha

Na mambo yakiwa sio sawa waweza itumia AKIBA yako

Kikubwa na cha kumuomba MUNGU ni AFYA njema kila leo

AFYA yako ikiwa njema unaweza kutimiza malengo yoyote either kwa kuwahi au kuchelewa.✊🏿
 
Kama ilivyo soka uwanjani kuna njia zake basi na pesa ni hivyo hivyo - bila kujua namna ya kuitega mitego yake ndugu yangu huambulii chochote, unaamka saa 12 asbh unarudi home saa 2 usiku hola - unafika 70 unaanza magonjwa nyemelezi basi ndo hivyo tena...niagieni.
 
Mkuu naomba tufundishane mitego ya fedha tafadhali.
 
Back
Top Bottom