Maisha hayahitaji haraka na panic ya Kuona mda umekuacha, GOD IS GOOD....Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha hayahitaji haraka na panic ya Kuona mda umekuacha, GOD IS GOOD....Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Kwakweli....Ndio ivyo tuna angaikia tumbo ambalo alisem inatosha
Kusoma vitabu ni masturbation ya mind inasaidia sana.Nasali, amani ya moyo huwa naipata kwa kusoma vitabu......nikisoma vitabu akili na mawazo yangu hubadikika kabisa
Na ukiangalia ulichoifanyia pesa hamna zaidi ya ku clear madeni...Yaani pesa inaingia Kwa tabu na ikitoka inatoka Kwa haraka na Kwa ulainiii...mtu anapokea mishahara Hadi siku 30 au 20 zipite lakini kuisha inaweza kuwa ni masaa tu au mawiki...Spend wisely.
Yaani hela yako na ya mwanangu zote zinapita hivi 🏃♀️Yani kama mie sahivi walah yamenisimamia na ukucha, ilimradi tu niteseke 😔
God is goodKwakweli....
Ila Kuna muda mambo yanakuwa mazuri...mpaka unashangaa ...Kuna muda yanastak kabisa
Maisha hayatabiriki
Hadi sio poa kwakweli, zinakuja kwa mwendo wa kobe zinaondoka na marathonYaani hela yako na ya mwanangu zote zinapita hivi 🏃♀️
Yani wewe🤣Yani kama mie sahivi walah yamenisimamia na ukucha, ilimradi tu niteseke 😔
Yaani mkuu kuweka akiba imekuwa haiwezekani. Unaweka akiba then mara ada za watoto, mara kuna huyu na yule, muhitaji ni makubwa kuliko kipato.Pesa yenyewe ya kuweka akiba ipo wapi ukipata kidgo kila mtu anaitaka iyo iyo jamn eee pesa ngumu
Usijali mkuu. Ipo siku mambo yako yatanyooka hadi ushangae. Fainali uzeeni.Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
Mkuu naomba tufundishane mitego ya fedha tafadhali.Kama ilivyo soka uwanjani kuna njia zake basi na pesa ni hivyo hivyo - bila kujua namna ya kuitega mitego yake ndugu yangu huambulii chochote, unaamka saa 12 asbh unarudi home saa 2 usiku hola - unafika 70 unaanza magonjwa nyemelezi basi ndo hivyo tena...niagieni.
50 mbaliUkifika 50 utaona yote ni batili,kuanzia utafutaji pesa,kukuza career na hata familia.
Maisha ni usenge sana.
Yaani mkuu kuweka akiba imekuwa haiwezekani. Unaweka akiba then mara ada za watoto, mara kuna huyu na yule, muhitaji ni makubwa kuliko kipato.
Hata uwe tajiri mwenye miaka 20 lakini ukiona watu nchi hii wanavyoteseka na ccm unatamani mama Samia umlambe vibao.Ukifika 50 utaona yote ni batili,kuanzia utafutaji pesa,kukuza career na hata familia.
Maisha ni usenge sana.