Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
20250717_231750.jpg

Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
 
Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575

View attachment 3419579
France wamesema ifikapo August 2025 watatangaza rasimi kuitambua Parestina kama Taifa kamili.
 
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari
Wakristo ndani ya Israeli hawajawahi kuheshimiwa hata mara moja, ni kwavile tu hawajielewi lakini ndani ya Iraeli Waislamu wanaheshika kuliko wakristo.
 
Wakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Wakatoliki, Walutheri, Wasabato na wasabato masalia wengi tu wanaiunga mkono Israel
 
Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Ila wakati wanapigwa waislamu au misikiti hamkuwahi kubweka ila leo mmepigwa nyie mnaanza kutapa tapa
 
Back
Top Bottom