min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Mkristo anaejielewa hawezi kuwa namna hii zaidi ya walokole tu🤔Ulichoandika kina ukweli wa 100%
Mkristo anaejielewa hawezi kuwa namna hii zaidi ya walokole tu🤔Ulichoandika kina ukweli wa 100%
Watesema hamasi walikuwa wamejificha hapo kwa utetezi dhaifu ..Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Hao walokole vibwengo hata humu wapo. Tunawatambua kupitia comments zao zilizojaa matusi na stress.Mkristo anaejielewa hawezi kuwa namna hii zaidi ya walokole tu🤔
Na wewe si mmoja wao kati ya wale Zionism blind followersNgoja waje na God bless i...
Hawa wawili watoe kwenye list yako.Wakatoliki, Walutheri, Wasabato na wasabato masalia wengi tu wanaiunga mkono Israel
Katika dini ambayo haipendi kukosolewa au kulaani mambo ya hovyo yanayofanywa na extremists wake ni Uislamu.Brainwashing ni mbaya sana , wengi wanaamini Zionist na taifa lao ni sawa na wale waliosifiwa halafu hawaabii kitu kwa Zionist hata wakifanya mabaya tofauti na Waislamu sisi Waarabu tubawapiga spana wanapoenda wrong hata extremists Wazee wa fujo tunawakataa.
Haufuatilii tu , Kuna makala audio , vitabu na clips kibao kutoka kwa Masheikh na Wanazuoni wakitahadharisha watu na hayo makundi na watu wake tokea kipindi yanachipukia mpaka Osama watu waliinywa dhidi yake tokea Zamani.Katika dini ambayo haipendi kukosolewa au kulaani mambo ya hovyo yanayofanywa na extremists wake ni Uislamu.
Ndo unakutwa ni mtu mwenye heshima zake kabsai na anawfuasi anatokwa na povu balaaWakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Haiwezekani mkuu, mimi siwezi kuwa shabiki wao hata kidogoNa wewe si mmoja wao kati ya wale Zionism blind followers
Kwamba kusupport yanayofanya na netanyahu na serikali yake utabarikiwa --- hii haiwezi kua kweli mkuu, lazima kuwe na shida mahaliTofauti ni nini??
Ukiwa mwenye akili timamu, mstarabu unayeheshimu uhuru wa Kila mtu bila kujali dini, rangi Wala kabila lazima uwe upande wa Israel na kinyume chakeWakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
labda atokee mbabe mmoja wa dunia avamie atengeneze mataifa mawili na awe anayalindaMimi ni mkristo, ila siwaungi mkono hao Mayahudi wanao waua na kuwatesa Wapalestina miaka nenda.
Lakini pia siwaungi mkono Hamas na washirika wao kadhaa wenye misimamo mikali kwa kutaka kuwafuta hao Mayahudi kwenye ramani ya dunia; jambo ambalo kwa mtazamo wangu nadhani haliwezekani kutokana na ukweli kwamba hao wahuni wana backup kubwa kutoka kwa Marekani, lakini wameshawekeza vya kutosha tangu 1948 walipo tangaza kuzaliwa kwa hilo Taifa lao.
Njia sahihi kwao nadhani ni kumaliza tu tofauti zao, na hivyo kuwepo na Mataifa huru mawili; Israel na Palestina. Hakuna njia nyingine ya kuondokana na haya mateso na mauaji yasiyo kwisha kwa Wapalestina.