Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Hawa kina netanyahu sidhani kama ndo wajukuu wa Yuda na Reubeni
Israel ni ile ile na matendo yake ni yale yaleMwenye akili timamu tu bila hata kuwa mkristo lazima uwe na ufahamu wa tofauti ya Israel ya Netanyahu na ya Mussa..
Wewe ni Mkatoliki ?Wakatoliki, Walutheri, Wasabato na wasabato masalia wengi tu wanaiunga mkono Israel
Acha siasa jibu swali sijauliza kuhusu kanuni ya imaniKanisa moja takatifu la mitume.
Wayahudi huwaona Wakiristu kama wapagani kwa sababu ya Imani ya Utatu
Yesu kazaliwa Batlehem West Bank Palestina,Yesu hakuzaliwa Israel,Batlehem ni mji uliopo Palestina na sio Israel,Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo!
Gongwa na mafataki na waisrael kwenye mikanisa yenu hukoHamas ni magaidi
Wasaudia 90% Muslims,jamii ya kiarabu asilimia kubwa Muslims.Wakristo hawa affiliation na Israel ispokuwa Kuna history ya yesu na wanaamini kuwa hayo maeneo yana baraka sawa tu na manka au Madina waisramu hawajali kuhusu wasaudia
Wao hawajali nani yupo Saudi nani asili yake unawajua waturuki walimiliki eneo la Makkah na Madina Kwa muda gani ?Wasaudia 90% Muslims,jamii ya kiarabu asilimia kubwa Muslims.
Na ndio maana unakuta Kuna siku asili zote na mataifa yote yanaungana hapo Makkah na Madina.
Ila kwa Israel wayahudi wanawanyanyapaa wakristo.
Hizi ni baadhi:Tofauti ni nini??
AiseeeeeWakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Waturuki ni jamii ya waislam pia kwao kumiliki Makkah na Madinah sio jambo baya.Wao hawajali nani yupo Saudi nani asili yake unawajua waturuki walimiliki eneo la Makkah na Madina Kwa muda gani ?
Endelea kujitekenya tu lakini Kaa ukijua Mahusiano ya Wakristo na wayahudi ni ya kudumu!!!Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Wewe ni mwehu huko Israel dini zote ziko sawa wewe endelea tu kueneza UHARO wako usio na maana???Wakristo ndani ya Israeli hawajawahi kuheshimiwa hata mara moja, ni kwavile tu hawajielewi lakini ndani ya Iraeli Waislamu wanaheshika kuliko wakristo.