Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

Cha ajabu kabisa Wakristo wao hawana tatizo na ndugu zao Wayahudi lakini inashangaza sana kuona Waislamu ndiyo wako mstari wa mbele kueneza uongo na. Chuki dhidi ya Wayahudi.

Ni furaha kuu kwa waislamu kuona Wakristo wakiwachukia Wayahudi kitu ambacho hakiwezi kutokea. Waislamu wanataka itokee hiyo lakini haitatokea aslani!!! Wao waendelee tu kulialia kama watoto!! Huku wakitarajia ahadi ambazo hazipo za kuwachukia wayahudi!!!
 
Hao walokole vibwengo hata humu wapo. Tunawatambua kupitia comments zao zilizojaa matusi na stress.
Safari mtanyooka tu chuki zenu kwa Israel hazina mashiko tena. Mna jitahidi sana kueneza chuki zenu dhidi ya Israel lakini uzuri walishagundua janja ya Wafuga Midevu na Majini!!!
 
Mimi ni mkristo, ila siwaungi mkono hao Mayahudi wanao waua na kuwatesa Wapalestina miaka nenda.

Lakini pia siwaungi mkono Hamas na washirika wao kadhaa wenye misimamo mikali kwa kutaka kuwafuta hao Mayahudi kwenye ramani ya dunia; jambo ambalo kwa mtazamo wangu nadhani haliwezekani kutokana na ukweli kwamba hao wahuni wana backup kubwa kutoka kwa Marekani, lakini wameshawekeza vya kutosha tangu 1948 walipo tangaza kuzaliwa kwa hilo Taifa lao.

Njia sahihi kwao nadhani ni kumaliza tu tofauti zao, na hivyo kuwepo na Mataifa huru mawili; Israel na Palestina. Hakuna njia nyingine ya kuondokana na haya mateso na mauaji yasiyo kwisha kwa Wapalestina.
Acha ujinga na uache kujipendekeza kwa Wakristo wewe unajulikana wazi ni Mfuga Midevu na Majini ndiyo maana hujui hata wapalestina walifanya nini Oct 07,2023!!!!

Kwa taarifa yako tu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu 1,200+ na kuteka nyara watu 251 hayo wewe huwezi kuyaongelea maana unajua ndiyo sababu ya vita inayoendelea leo hii,
Magaidi wa Hamas wanaendelea kushikilia mateka wa Israel na imekataa kuwaachia huru na Israel inapigana kuwakomboa watu wake kutoka kwenye mikono ya Magaidi wa Hamas.
 
Watoto wa 2000 muwe mnajifunza kumjibu mtu kwa kujenga hoja badala ya kumshambulia kwa matusi, pasipo na sababu za msingi. Mimi nimetoa maoni yangu. Na wewe toa ya kwako. Huna sababu ya kutukana.

Siku zote mtu mwenye akili kubwa huwa anajenga hoja. Na mwenye akili ndogo huwa anakimbilia kwenye matusi, kama kichaka chake cha kufichia madhaifu yake.
 
Acha ujinga hapo hakuna tusi lolote ulilotukanwa ujinga wako tu unakusumbua!!!!
 
Watoto wa 2000 muwe mnajifunza kumjibu mtu kwa kujenga hoja badala ya kumshambulia kwa matusi, pasipo na sababu za msingi. Mimi nimetoa maoni yangu. Na wewe toa ya kwako. Huna sababu ya kutukana.

Siku zote mtu mwenye akili kubwa huwa anajenga hoja. Na mwenye akili ndogo huwa anakimbilia kwenye matusi, kama kichaka chake cha kufichia madhaifu yake.
Huyo ni taahira kaka hata usihangaike kumjibu.
Kila mtu anajua huyo ni taahira.
 
France wamesema ifikapo August 2025 watatangaza rasimi kuitambua Parestina kama Taifa kamili.
Dont play to their games, hawakuitambua Palestina wakati ilipokuwa Hai, na sasa wanataka kuitambua baada ya kuiharibu kabisa nchi ya Palestina, taktik hizi wamezitumia sana , kwanza wanashiriki kudestroy halafu baada ya hapo wanashiriki kuleta amani. Open your eyes. Mabomu yanayotumiwa na Israel kuipiga palestina yanatoka France, Uk , Us , Canada.
 
Mimi ni mkristo na bado naiunga mkono Israel hii ya Netanyahu iwashughulikie vilivyo magaidi ya kipalestina
 
Sidhani kama hawa ni magaidi
20250726_171829.jpg
20250726_171957.jpg
 
Back
Top Bottom