France wamesema ifikapo August 2025 watatangaza rasimi kuitambua Parestina kama Taifa kamili.Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Wakristo ndani ya Israeli hawajawahi kuheshimiwa hata mara moja, ni kwavile tu hawajielewi lakini ndani ya Iraeli Waislamu wanaheshika kuliko wakristo.Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari
Mwisho wa GazaWaisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Mimi kama kijana mlokole, naunga mkono hojaWakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Waisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Kuna mlokole mmoja alinipiga mkwara akajua mimi ni kidampa kama alio wazoea gademiiit.Mimi kama kijana mlokole, naunga mkono hoja
Huyo siyo Setfree kweli 🤔 😁Kuna mlokole mmoja alinipiga mkwara akajua mimi ni kidampa kama alio wazoea gademiiit.
Wakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Wakatoliki, Walutheri, Wasabato na wasabato masalia wengi tu wanaiunga mkono Israel
Unakutana na mtu eti ukiibariki Israel na wewe unabarikiwa , mwisho wa siku anakuomba buku ya kula🤣
Hatari sana🤣Unakutana na mtu eti ukiibariki Israel na wewe unabarikiwa , mwisho wa siku anakuomba buku ya kula🤣
Ila wakati wanapigwa waislamu au misikiti hamkuwahi kubweka ila leo mmepigwa nyie mnaanza kutapa tapaWaisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Huwaambii kitu haoMwenye akili timamu tu bila hata kuwa mkristo lazima uwe na ufahamu wa tofauti ya Israel ya Netanyahu na ya Mussa..
Ulichoandika kina ukweli wa 100%Wakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.