Kuna wakati utafika Wakristo wafia dini wataitelekeza Israeli

Watesema hamasi walikuwa wamejificha hapo kwa utetezi dhaifu ..
 
Brainwashing ni mbaya sana , wengi wanaamini Zionist na taifa lao ni sawa na wale waliosifiwa halafu hawaabii kitu kwa Zionist hata wakifanya mabaya tofauti na Waislamu sisi Waarabu tubawapiga spana wanapoenda wrong hata extremists Wazee wa fujo tunawakataa.
 
Hii hapa hata balozi wa Marekani ametoa taarifa kuhusu hujuma hii wanayofanyiwa Wakiristo huko kwa Wazayuni.
 
Katika dini ambayo haipendi kukosolewa au kulaani mambo ya hovyo yanayofanywa na extremists wake ni Uislamu.
 
Katika dini ambayo haipendi kukosolewa au kulaani mambo ya hovyo yanayofanywa na extremists wake ni Uislamu.
Haufuatilii tu , Kuna makala audio , vitabu na clips kibao kutoka kwa Masheikh na Wanazuoni wakitahadharisha watu na hayo makundi na watu wake tokea kipindi yanachipukia mpaka Osama watu waliinywa dhidi yake tokea Zamani.
 
Mimi ni mkristo, ila siwaungi mkono hao Mayahudi wanao waua na kuwatesa Wapalestina miaka nenda.

Lakini pia siwaungi mkono Hamas na washirika wao kadhaa wenye misimamo mikali kwa kutaka kuwafuta hao Mayahudi kwenye ramani ya dunia; jambo ambalo kwa mtazamo wangu nadhani haliwezekani kutokana na ukweli kwamba hao wahuni wana backup kubwa kutoka kwa Marekani, lakini wameshawekeza vya kutosha tangu 1948 walipo tangaza kuzaliwa kwa hilo Taifa lao.

Njia sahihi kwao nadhani ni kumaliza tu tofauti zao, na hivyo kuwepo na Mataifa huru mawili; Israel na Palestina. Hakuna njia nyingine ya kuondokana na haya mateso na mauaji yasiyo kwisha kwa Wapalestina.
 
Wakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Ukiwa mwenye akili timamu, mstarabu unayeheshimu uhuru wa Kila mtu bila kujali dini, rangi Wala kabila lazima uwe upande wa Israel na kinyume chake
 
labda atokee mbabe mmoja wa dunia avamie atengeneze mataifa mawili na awe anayalinda


kumaliza tofauti zao haiwezekani --- kila mtu anataka kumfuta mwenzake
 
labda atokee mbabe mmoja wa dunia avamie atengeneze mataifa mawili na awe anayalinda


kumaliza tofauti zao haiwezekani --- kila mtu anataka kumfuta mwenzake
Sijui mwisho wake itakuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…