Nani amekuuliza dini yako??? Acha kujipendekeza kwa Walokole hakuna cha 100% au o%Ulichoandika kina ukweli wa 100%
Safari mtanyooka tu chuki zenu kwa Israel hazina mashiko tena. Mna jitahidi sana kueneza chuki zenu dhidi ya Israel lakini uzuri walishagundua janja ya Wafuga Midevu na Majini!!!Hao walokole vibwengo hata humu wapo. Tunawatambua kupitia comments zao zilizojaa matusi na stress.
Acha ujinga na uache kujipendekeza kwa Wakristo wewe unajulikana wazi ni Mfuga Midevu na Majini ndiyo maana hujui hata wapalestina walifanya nini Oct 07,2023!!!!Mimi ni mkristo, ila siwaungi mkono hao Mayahudi wanao waua na kuwatesa Wapalestina miaka nenda.
Lakini pia siwaungi mkono Hamas na washirika wao kadhaa wenye misimamo mikali kwa kutaka kuwafuta hao Mayahudi kwenye ramani ya dunia; jambo ambalo kwa mtazamo wangu nadhani haliwezekani kutokana na ukweli kwamba hao wahuni wana backup kubwa kutoka kwa Marekani, lakini wameshawekeza vya kutosha tangu 1948 walipo tangaza kuzaliwa kwa hilo Taifa lao.
Njia sahihi kwao nadhani ni kumaliza tu tofauti zao, na hivyo kuwepo na Mataifa huru mawili; Israel na Palestina. Hakuna njia nyingine ya kuondokana na haya mateso na mauaji yasiyo kwisha kwa Wapalestina.
Wajinga tu na wapumbavu ndiyo wanawaunga mkono Magaidi,Watekaji nyara watu ambao ndiyo Magaidi wa Kipalestina!!Ukiwa mwenye akili timamu, mstarabu unayeheshimu uhuru wa Kila mtu bila kujali dini, rangi Wala kabila lazima uwe upande wa Israel na kinyume chake
Kila mtu ana Imani yake Israel kila mtu Imani yake inaheshimiwa sana tu!!!Wayahudi huwaona Wakiristu kama wapagani kwa sababu ya Imani ya Utatu
Kwa ujinga na upumbavu wako wewe unaunga mkono yaliyofanywa na Magaidi Oct 2023Kwamba kusupport yanayofanya na netanyahu na serikali yake utabarikiwa --- hii haiwezi kua kweli mkuu, lazima kuwe na shida mahali
Wewe jibia hiyo comment mkuu.Kwa ujinga na upumbavu wako wewe unaunga mkono yaliyofanywa na Magaidi Oct 2023
Haya, kasome juzuu huko au misale then ulale umeeleweka.Wakristo wanaoiunga mkono Israel nao sijui wanatumia akili gani ila nahisi ni walokole tu ambao moja kwa mojo ni wehu wakutupwa.
Unanipangia cha kufanya?Haya, kasome juzuu huko au misale then ulale umeeleweka.
Sikupangii, ila unapoingilia uhuru wa walokole unaharibu.Unanipangia cha kufanya?
Watoto wa 2000 muwe mnajifunza kumjibu mtu kwa kujenga hoja badala ya kumshambulia kwa matusi, pasipo na sababu za msingi. Mimi nimetoa maoni yangu. Na wewe toa ya kwako. Huna sababu ya kutukana.Acha ujinga na uache kujipendekeza kwa Wakristo wewe unajulikana wazi ni Mfuga Midevu na Majini ndiyo maana hujui hata wapalestina walifanya nini Oct 07,2023!!!!
Kwa taarifa yako tu Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu 1,200+ na kuteka nyara watu 251 hayo wewe huwezi kuyaongelea maana unajua ndiyo sababu ya vita inayoendelea leo hii,
Magaidi wa Hamas wanaendelea kushikilia mateka wa Israel na imekataa kuwaachia huru na Israel inapigana kuwakomboa watu wake kutoka kwenye mikono ya Magaidi wa Hamas.
Uhuru wao nimeingilia lini na wapi?Sikupangii, ila unapoingilia uhuru wa walokole unaharibu.
Kila mtu aamini anachoweza maana Kila mtu atakufa kivyake na mbele za Haki utaenda mwenyewe.
Acha ujinga hapo hakuna tusi lolote ulilotukanwa ujinga wako tu unakusumbua!!!!Watoto wa 2000 muwe mnajifunza kumjibu mtu kwa kujenga hoja badala ya kumshambulia kwa matusi, pasipo na sababu za msingi. Mimi nimetoa maoni yangu. Na wewe toa ya kwako. Huna sababu ya kutukana.
Siku zote mtu mwenye akili kubwa huwa anajenga hoja. Na mwenye akili ndogo huwa anakimbilia kwenye matusi, kama kichaka chake cha kufichia madhaifu yake.
Huyo ni taahira kaka hata usihangaike kumjibu.Watoto wa 2000 muwe mnajifunza kumjibu mtu kwa kujenga hoja badala ya kumshambulia kwa matusi, pasipo na sababu za msingi. Mimi nimetoa maoni yangu. Na wewe toa ya kwako. Huna sababu ya kutukana.
Siku zote mtu mwenye akili kubwa huwa anajenga hoja. Na mwenye akili ndogo huwa anakimbilia kwenye matusi, kama kichaka chake cha kufichia madhaifu yake.
Dont play to their games, hawakuitambua Palestina wakati ilipokuwa Hai, na sasa wanataka kuitambua baada ya kuiharibu kabisa nchi ya Palestina, taktik hizi wamezitumia sana , kwanza wanashiriki kudestroy halafu baada ya hapo wanashiriki kuleta amani. Open your eyes. Mabomu yanayotumiwa na Israel kuipiga palestina yanatoka France, Uk , Us , Canada.France wamesema ifikapo August 2025 watatangaza rasimi kuitambua Parestina kama Taifa kamili.
France kwa yule shoga Macron sio?!France wamesema ifikapo August 2025 watatangaza rasimi kuitambua Parestina kama Taifa kamili.