Tumia akili yako vizuri wewe zuzu!!! Angalia vizuri hizo picha ni za Propaganda Uchwara za Wafuga Midevu na Majini.Sidhani kama hawa ni magaidi View attachment 3421981View attachment 3421982
Tumia akili yako vizuri wewe zuzu!!! Angalia vizuri hizo picha ni za Propaganda Uchwara za Wafuga Midevu na Majini.
Angalia hizo picha kisha Jiulize kama watoto hao wamekondeana hivyo kwa nini huyo Mama ana afya njema? Angalia mashavu yake yalivyo Nona!!!!
Yesu kazaliwa Batlehem West Bank Palestina,Yesu hakuzaliwa Israel,Batlehem ni mji uliopo Palestina na sio Israel,
Jielimishe kidogo
Hamas wanaiba chakula na kuficha kwenye mahandaki na kuacha raia wa Gaza wakitesekeaSidhani kama hawa ni magaidi View attachment 3421981View attachment 3421982
Echolima1 atakua hai kweli huyu mgalatiaWaisrael Kupiga bomu kanisa huko Gaza na kuharibika kwa hali ya ubinadamu katika vita vya gaza sasa ni kama imepitiliza mstari wa utu.
View attachment 3419575
Wakristo pia ni kama wanaanza kubugudhiwa tena kwenye nchi ya ahadi alipozaliwa mkombozi wao Bwana Yesu Kristo! Hali sio shwari.
View attachment 3419579
Ujinga mtupu Morgan analazimisha anavyotaka yeye IDF wafanye!!! Waacheni IDF wafanye kazi yao na pia IDF hawafuati amri za waandishi wa Habari!!
View: https://youtube.com/shorts/jX10vrak8EY?si=n00H1zS9_uDBe5AO
Kwamba hawa ni wateule? think hard mkuu
Wewe nilishakuambiaga imani imekuvurugaUjinga mtupu Morgan analazimisha anavyotaka yeye IDF wafanye!!! Waacheni IDF wafanye kazi yao na pia IDF hawafuati amri za waandishi wa Habari!!