A
Anonymous
Guest
Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au Malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.
Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.