Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watu wa Msumbiji pia wapo wengi tu.Warundi
Wamalawi
Wazambia
Hata wazimbabwe wako Tele Tz
Hao sindio wale wameondolewa ving'amuzi!Hivi kuna Wanawake wana Mbunye ( K ) Tamu kuliko zote / wote nchini Tanzania kama wa Kizanaki kutoka Kwetu Mkoani Mara?
Wewe hata Morogoro haujawahi kufika unataka kuelezea mambo usiyoyajua. Wanyakyusa wengi walipata elimu Malawi na inatokana na Mungu kuwaunganisha kwa kuwawekea mpaka unaowaonjesha uraia wa nchi zote mbili kila msimu wa masika.Mtz kwenda kutibiwa au kusoma Malawi ni kichekesho. Malawi wanaiona bongo kama London.
Tanzania kuna frusa nyingi za kiuuchumi kuliko Malawi ndiyo maana unaona kuna hadi Wapopo pamoja na Wakongo huko kitaani!!Malawi hakuna janga lolote linalojulikana rasmi kimataifa kusababisha raia wake watambulike kama wakimbizi nje ya nchi hiyo
Unasemaje na huko Rombo, mama zako hawaliwi?Mimi hapa kilimanjaro mpakani holili kuna machalii wa kenya wapo kibao na ninakula dada zao wa kikamba hawana choyo wala nini, sema ni mablack nikirudi moshi huwa natia timu kwa hawa marafiki 😅😅😅
Wanaliwa hakuna shida kwanini kubaniana papuchi kama wanaume wa rombo wanatia tungi na mama wako na haja mi sioni shida mkuu....Unasemaje na huko Rombo, mama zako hawaliwi?
Na wanapewa vitambulishoAngalau hao wanaimba na kusuka wadada na hawajifichi rahisi kuwakamata...warundi wanajifanya waha
Wamalawi wezi pia nimewashuhudia.Nenda Malawi utawakuta watamzania wengi sana pia kiswahili si lugha mali ya Tanzania, Malawi kipo pia na kuna wale wa Kyela ambao uraia hubadilika kutokana na kubadilika mkondo wa mto Songwe, pia baadhi ya makabila yapo pande zote mbili, nenda Ileje unaweza ukaingia Malawi bila kujua mpaka mtu akufahamishe, hii hutokana na watu wake kuwa jamii moja.
Swali langu kwako kutokana na unachokilenga, unadhani unaowalenga wakiondoka wazungu watakuajiri wewe kazi za nyumbani? Lugha na uaminifu unavyo?
Acha unaa wakongo wamejaa kibao na wasomali mbona hauulizi? Wageni as long hawana shida mie sioni tatizo wakae tu. Ukarimu wetu ndio unatusaidia tunaishi vizuri tukienda nchi zao.Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.
Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Warundi lafudhi inawaangusha sanaAngalau hao wanaimba na kusuka wadada na hawajifichi rahisi kuwakamata...warundi wanajifanya waha
Tuachane na mipaka tuliyowekewa na wakoloni wa kizungu, hao wamalawi ni ndugu zetu, ikiwa wamekuja kuishi kwa ndugu zao hakuna tabu, kwanza hiyo ni nguvu kazi tayari tumeipata kama nchi watasaidia kuinua uchumi wa nchi kwa huduma zao watakazozitoa, sisi wabongo pia tupo huko nje kama South Afrika, Mozambique n.k. tunaishi bila kufuata taratibu za uhamiaji wa nchi husika. Na kwa Bongo usidhani kuwa hawatambuliki, ila kwa kuwa hawana madhara ya uvunjifu wa amani ndiyo maana wapowapo, kama kungetokea viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani sidhani kama wangalikuwepo hao unaowaita wamalawi au wakimbizi. Ndugu fanya kazi utafute pesa ili umuoe huyo mmalawi wako.Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.
Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Watu wanapofichua watu, wanaoishi kinyume na sheria za uhamiaji, waache wafanye hivyo Tanzania, anakaribishwa kila mtu, ila aingie ki halali, wema kazi na matendo yao mazuri, haya haralishi uhamiaji haramamu.Wa Malawi wapo wengi sana Dar es salaam kila mahali, Boko wamejaa, na ni wachapa kazi kweli kweli, kwa ujira wa kawaida.
Sasa sijui wamekukosea nini? Maana hawazuru mtu, na pia unajuaje hawana vibali wote? Una uhakika gani?
Ujaona wazungu wengi maeneo ya Masaki? Mbona hao hujawataja? Mpaka umewasumbua wa Malawi wa watu?
Mbona wa Africa mnachukiana? Kwa hiyo ukiwaona wazungu unajua wote wana vibali ila wa Africa wenzako hawana?
Nenda kwao, bila vibali vya uhamiaji, ukauone huo undugu.Tuachane na mipaka tuliyowekewa na wakoloni wa kizungu, hao wamalawi ni ndugu zetu, ikiwa wamekuja kuishi kwa ndugu zao hakuna tabu, kwanza hiyo ni nguvu kazi tayari tumeipata kama nchi watasaidia kuinua uchumi wa nchi kwa huduma zao watakazozitoa, sisi wabongo pia tupo huko nje kama South Afrika, Mozambique n.k. tunaishi bila kufuata taratibu za uhamiaji wa nchi husika. Na kwa Bongo usidhani kuwa hawatambuliki, ila kwa kuwa hawana madhara ya uvunjifu wa amani ndiyo maana wapowapo, kama kungetokea viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani sidhani kama wangalikuwepo hao unaowaita wamalawi au wakimbizi. Ndugu fanya kazi utafute pesa ili umuoe huyo mmalawi wako.
Wapopo ndio akina nani sasa na wewe mbona unatuvuruga hapa kwenye kikao?Wacha waishi tu bongo wamalawi hawana sifa ya kufanya biashara haramu watu ambao inatakiwa wafutiliwe sana ni hawa wapopo wana dili chafu sana