Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Acha roho mbaya snitch mkubwa wewe, maisha popote acha wapambane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe ni zaidi ya mchawi na kama ww ni mwanaume daaah inasikitisha yani unamchoma rafiki yako?Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.
Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Africa ni moja, EU wameshaondoa huu ujinga kwa kiasi kikubwa.Shamba la bibi
Naona Wacongo umeona uwaache maana hawa ni wenzetu!Warundi
Wamalawi
Wazambia
Hata wazimbabwe wako Tele Tz
Angalau hao wanaimba na kusuka wadada na hawajifichi rahisi kuwakamata...warundi wanajifanya wahaNaona Wacongo umeona uwaache maana hawa ni wenzetu!
Kupika ni Sanaa, ni utashi wa mtu binafsi kujifunza.Wanawake wengi wakimalawi hawajui kupika, ila ni wakarimu Sana nimekaa nao Zaidi ya miezi3 mwaka 2017 maeneo ya Nkhata Bay,
Africa ni moja, EU wameshaondoa huu ujinga kwa kiasi kikubwa.
Hiyo ni changamoto ndio inawagharimu Uturuki ulaya.Sitaki kuwa wamoja na Somalia na nchi zingine zenye majanga. Umoja una vigezo na changamoto zake ndo maana England wamejitoa EU na Swiss hayupo kabisa.
Mkimbizi sio lazima akimbie Vita, hata wakimbizi was kiuchumi wapi Ila hawatambuliki rasmi.Malawi hakuna janga lolote linalojulikana rasmi kimataifa kusababisha raia wake watambulike kama wakimbizi nje ya nchi hiyo
Watanzania kuweni na akili hata yakuchambia tu chooni! Malawi imeanza lini kuzalisha wakimbuzi? Hovyo sana.Habari,
Nimejaribu sana kufuatilia na kugundua sana sehemu ya Mwananyamala kumejaa sana wakimbizi au malawi au wamalawi wengi wano ishi bila ya kua na vibari.
Sijajua Uhamiaji wanafanya kazi gani. Maana imekuwa kawaida sana kukuta wamalawi wakiwa wengi sehemu hiyo pamoja na Mbezi Beach wakiwa kama wafanyakazi wa ndani.
Sijajua shida ni nini ila naomba serikali ifanye jitihada. Maana nipo na rafiki yangu wa kike mmalawi.
Halafu watanzania wa mpakani wanapata huduma bure za matibabu wakiingia Malawi,wapo watz wengi wanakaa Tanzania lakini watoto wa msingi wanasoma shule za Malawi kule Ileje,hata ukienda Wilaya za mpakani
Kuna vijiji huduma za afya ni kilometers wanaenda vituo vya karibu vilivyopo nchini Malawi kupata hudumaMtz kwenda kutibiwa au kusoma Malawi ni kichekesho. Malawi wanaiona bongo kama London.
hawa TISS na wengine wanafanya kazi gani?Ni tangu kitambo sana na chaka kao kubwa lilikuwa Mwenge .. Hii ninayosemea ni wayback 2010 na kuendelea au kurudi nyuma kidogo
Wengi walitawanywa kwenye familia zinazojiweza na kuwa ma house boys na girls kwa mishahara mizuri kutokana na kumudu lugha ya kiingereza vizuri
Wengine walikuwa waajiriwa kwenye mabaa makubwa, hotel na sehemu za starehe
Walipatikana zaidi
Mwenge
Kijitonyama
Ma saki
Mikocheni
Oyterbay
Maeneo jirani na chuo kikuu
Kamwe no
Wengi wao waliajiriaa kwenye familia za matajiri, wageni, wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali.. Kuna ambao walijiongeza wakajifunza Kiswahili haraka na mikataba yao ya Kazi ilipokwisha wakajichanganya mitaani kuoa na kuolewa.. Wapo pia wenye vitambulisho vya taifa kabisa..!
Kwa jinsi walivyokuwa wanakuja kwa wingi sssa hivi watakuwa wamejichanganya sehemu kubwa ya nchi na hata Dodoma wapo wa kutosha sana.. Last week nilikuwa Tanga kwenye mishe zangu nikakutana na mmoja dogo tu anafanya ishu za madini.. Hajui kabisa Kiswahili hivyo anatembea na mkalimani na tayari amepata binti wa kitanga [emoji23]
Ni sehemu gani nimeandika kwa kupaniki zaidi ya kueleza hali halisi kati ya Tanzania na Malawi.Vipi una shida gani na hiki nilichochangia kwenye hii mada? Mbona umekuja kwa kupaniki sana?