Kuna wanaume humu wapo kuvamia members wapya wanaodhani ni Wasichana

sheria inasemaje juu ya kumiliki account mbili? unajaza servers tu 😀
 
hapana Mkuu, wanaume hatuambianagi Mambo na pia toka nimejiunga JF 2017 huwa sichati na wana DM yani nikimtafuta mtu naenda straight naeleza shida yangu
Sio JF tu....nadhani maisha yanabadilika kwa kasi...

Wanaume wamekuwa wa hovyo kabisa....hata Whatsapp siku hizi mwanaume anakutext kisha anakuambia nilikuwa nakusalimia...

Enzi zetu tunapiga simu ukiwa na jambo la muhimu. Mwanaume hauwezi ukanitumia text kisha unaniambia tu kirahisi nilikuwa nakusalimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…