babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Sasa naww mara ujiite misfortune huku hutaki ugongwe kimasharamleta mada kazungumza kitu muhimu sana,kuna wakati nilibadili ID na kujiita "Misfortune" kwa sababu zangu nazozijua,kuna jamaa si likaja DM nimeniandikia "Mambo" ikabidi nilitukane nibadili na jina tena
Na salamu inajulikana. Ni shikamoo, mambo yanaishia hapoSio JF tu....nadhani maisha yanabadilika kwa kasi...
Wanaume wamekuwa wa hovyo kabisa....hata Whatsapp siku hizi mwanaume anakutext kisha anakuambia nilikuwa nakusalimia...
Enzi zetu tunapiga simu ukiwa na jambo la muhimu. Mwanaume hauwezi ukanitumia text kisha unaniambia tu kirahisi nilikuwa nakusalimia.
Karucee hili jambo lina ukweli wowote?nikambebisha humu akabebishika
Satoh Hirosh umerudi kwa awamu nyingine tena, umejipanga?That Gentleman njoo huyu Satoh anakuchukulia poa.
kumbe sio Dem ni jamaa????😂😂Kaombwa tunda huyo, na nina wasiwasi sana na mzabzab (mzee wa migegedo) usikute alijua ni pisi😂😂
Deme hilo, basi ti vijana wa sikuhizi hawajui kukaza.kumbe sio Dem ni jamaa????😂😂
Dah mbona mnanisingizia... Wanawake wa jf ni matawi ya juu sana. Maana wanataka kuhongwa laki na kuendelea mie hiyo hela naitoa wapi?Kaombwa tunda huyo, na nina wasiwasi sana na mzabzab (mzee wa migegedo) usikute alijua ni pisi😂😂
Take it hardmwanamke yake mitongozo....take it easy
itakua ukiona Id yangu unasisimka sanaTake it hard
Hiv hajui faida ya kutongozwa?? Msipotongozwa mnaanza kulalamika Tena,hiv nyny mkoje jaman ??mwanamke yake mitongozo....take it easy
Mmmmm!! Why ? Maana hata chura hunaitakua ukiona Id yangu unasisimka sana
Hapana shekhe Mimi sio jembeeeee!Vipi wewe umechomekwa mpini?
najua, najua sina we umenizidi churaMmmmm!! Why ? Maana hata chura huna
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,siku moja Karucee atalegeza Tu kwanguSatoh Hirosh umerudi kwa awamu nyingine tena, umejipanga?