hahaha kwahiyo tusiokuwa na madorali tutapata tabu sana...sio![emoji23][emoji23][emoji23]Kama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni balaaaaaaaa huuhuuuu ngoja niishie hapaaa.
Lakini siwezi kuacha kumtag Jr maana yeye tajiri wa tunguli ana uwezo wa kugeuza makaratasi kuwa pesaa.
Wanaume matajiri Jf huwezi kumkuta hata siku moja anachit chat kama Mbao za Mawe au Daby.
Za kuambiwa changanya na zakoo.
Wanaume wenye madorali Jf leo tupo pamoja tumechoka hizi brand I'd kumbe hazifanani na wahusika alafu nyie mnaomiliki mikwanja mmejificha hamtaki kujulikana loooh kazi kweli kweli.
Mrs Jr.
JF nimewahi kukutongoza wewe tu.Wifi Demiss una mambo 😛
Brav Brav.. Wassuuup😀😀😀😀😀😀
May be one day [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajutia nini na mimi ni mrs Mangi ingawa si wewe.JF nimewahi kukutongoza wewe tu.
Afu najutia sanaa
Swali zuri sana
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Good question
Kwema pachaNipo jamaani Pacha. Wewe ndio huonekani. Kulikoni kwema huko?
Najutia kwakua ulinikataa, sikataliwagi mimiUnajutia nini na mimi ni mrs Mangi ingawa si wewe.
Wasinisahau jaman nitaonyesha salio la benki
Nakazia hapo. Wanacomment mara chache sana.Watu wenye mkwanja JF beleive me hua hawacoment jf hata kidogo. Hao ndio hutoa ajira kwa watu humu, hakuna aliyewahi kuajiriwa na Member maarufu ila ndio pia wanaongoza Kuwala mademu wa Jf
Ulisema huwezi labda chodaKwanini unahisi siwezi kutimiza/kununua?
Salaam kakaMmmmh!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Halafu nakudaiAise