Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

kwakweli, ukute mwenyewe kajituliza huko hana hata wazo hilo
Wanacomplicate tu. Na watapata taabu sana. Mke ni patner na rafiki sio mtumwa kama wengi wanavyodhani.
Watu wana jinsi yao kuishi sio lazima tufanane. Na unaweza kukuta wanaishi vizuri bila tatizo.
Pia watu waelewe kwamba dunia inabadilika sana wategemee mabadiliko mengi. Tuachane na ndoa za watu tudeal na za kwetu maana zina matatizo ya kutosha.
Mke wa mwaka 1980 ni tofauti na mke wa 2022. Na tukifika 2050 sijui itakuaje.

Kataa ndoa itawafaa wengi wakaunge mkojo juhudi za kina Liverpool VPN . Ila ukweli ni kwamba mambo yamebadilika.
 
Huwezi kuwa serve two masters at the same time. Huwezi kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja, utaishia kupiga msamba. Kua na uhuru wa kipato na ku heshimu waume zao? That's a lot on your plate (problems) you're asking for! You must pick one!
 
Huwezi kuwa serve two masters at the same time. Huwezi kupanda farasi wawili kwa wakati mmoja, utaishia kupiga msamba. Kua na uhuru wa kipato na ku heshimu waume zao? That's a lot on your plate (problems) you're asking for! You must pick one!
eti eehe sawa! nini kigumu kumuheshimu mtu? Inahitaji nini? Visa ya kwenda mbinguni au?

Haya acha wafanye hivyo, sisi wengine tutajitahidi kufanya vinginevyo.
 
W.ke aina hii ni mazumbukuku kabisaaa
 
Angekuwa mke wangu angekuta nimefunga mlango
 
Huyu hata akikosea hawez kumuomba mumewe msamaha huyu.
.....amuombe msamaha tena!! wakati kashadeclare kuwa ana jeuri ya pesa.......mimi ni muumini wa ukombozi wa kiuchumi kwa mwanamke ingawa huwa naona kabisa mafanikio kifedha Kwa wanawake ndio huwa mwanzo wa mwisho wa mahusiano mema kwa jamii, marafiki, familia na mume hence ndoa chaliii!!.......watu wengi huwanaga namna nzuri ya kuexpress their pride mwisho wanaishia kuonekana wanaringa, wajeuri, dharau nk.......poleni sana wanawake pengine haya yanafanyika out of their mind... very unfortunately......
 
Ndiyomaana makungwi wengi wa ushauri wa ndoa bora hawajaolewa au waliachika mapema sana, hii ndiyo dunia [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mlipotuandaa kuwa financial independent na kuwa na elimu hamkujiandaa pia?
Anzeni sasa kuwaandaa watoto wa kiume kuishi na aina hii ya wanawake mliowaandaa. Lasivyo mtaendelea kutamani visivyowezekana.

Au la, basi turudi 10000 steps back.
Uzuri ni kwamba sio wanawake wooote wanachagua kuenda the same path ya kua financial independent despite kua na elimu. Some women, preference yao ni kua submissive kwa waume zao na wana thamini sana values za traditional women.

Kwa maneno mengine, wanaume bado tuna options nyingi sana, ndomana ukifuatilia western countries kuna wanaume wamekua referred to as 'passport bros' uki wa exclude wale wanao conduct sex tourism, ninaowaongelea mimi hawa wengine ambao uwa usafiri overseas mazima na kutokurudi, nia yao kubwa ni kutafuta na kuoa traditional women (mostly Asians and Africans) na kuwakimbia modern women.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…