Nimeona video mtandaoni mwanamke mmoja kwenye party ya wanawake wenzake anajigamba kwamba ametoka nyumbani kwake hajaaga ila kampa mumewe taarifa tu kwa vile tu yupo financial stable.
Imagine mke wako anajitapa hivi mtandaoni uko ndani hali ikoje mkeo anatoka kwako bila taarifa how, si anaweza hata kulala nje ya nyumbani bila taarifa kuna ndoa kweli hapo.
Umebadili pp yako nini? Maana si yule Joline Kato niliyemuzoea kwenye pozi matata la mvuto wa mlibwende kama lile? [emoji847]Niende wapi nipo mie
........mmh kwani humu kuna wasimbe......Kuna msimbe kajibu kwenye page ya 50-60
Daaah JF izidi kudumu maana si kwa raha hizi [emoji38]Kuna msimbe kajibu kwenye page ya 50-60
Imenibidi nirudi kusoma kisha nikajiongeza na kumfahamu huyo Msimbe aliyemtaja [emoji1787]........mmh kwani humu kuna wasimbe......
π₯°π₯°πππOa unae fanana nae,ukiishia sekondary ,na ukawa na kipato Cha laki Tano kwa mwezi,harsfu ukaoa msomi wa chuo kikuu,utakufa kwa kihoro!kwa wasomi sie,mwanamke kuwa na roho ya kujiamini kiasi hicho ndio safi,tunaikubali,sasa kama unataka mkeo awe kama kondoo,Binti zako watajifunza nini?,na wao wawe makondoo wakiolewa?mwanamke independent wa pesa kwenye familia ni muhimu sana,ukiona unashindwa kuishi na mwanamke msomi,basi wewe uanaume wako una mashaka.
Old skool men,Wanapenda kutumia amri tu,hawawezi kujenga hoja,wapo wanawake anaingia kwenye ndoa tayari ana pesa yake ndeefu,huyo lazima ujue akili ipo sana,huwezi kumpeleka peleka kama gari bovu
πFinancial independence ni muhimu sana kwa mwanamke kwa kuwa pia inapunguza domestic violence. Kwa sisi tuliopitia ukatili tunaona ni namna gani ni muhimu kumuwezesha mtoto wa kike kielimu na kiuchumi ili aweze kusimama hasa pale atakapopitia changamoto za unyanyasaji.
Tukirudi kwenye swala la kuaga: Kama mwanaume utasimama kama mume kqa nyanja zote na sio kukoroma tu bila kusimamia majukum yako kweli utaombwa ruhusa kwa heshima kabisaaa. Ila mwanaume ukipwaya kwenye nafasi yako jua tu utapewa taarifa
Kwani hujaona msimbe mmoja kajibu hovyo hapo?Daaah JF izidi kudumu maana si kwa raha hizi [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kaangalie waliokuwa tagged........mmh kwani humu kuna wasimbe......
Huyo maza ni mpuuzi, mwanamke kuwa na hela haimpi sababu ya kutomuheshimu mumewe. Kuna wanawake wana hela lkn bado wanaheshimu waume zao sijajua kakwama wapi hadi kuongea alichokiongea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm n yule yule jana Leo na milele[emoji16]Umebadili pp yako nini? Maana si yule Joline Kato niliyemuzoea kwenye pozi matata la mvuto wa mlibwende kama lile? [emoji847]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Duh, brother naona hujiamini, sio kila mwanamke mwenye good income ni kicheche au haheshimu mme wake, mambo ya ndoa nzuri sometimes ni bahati tuuMwanamke hajaumbwa kua financial independent matokeo yake ndo haya tunayo yaona. Mwanamke ameletwa duniani kuzaa, kulea watoto na kufanya household chores, turudi kwenye vitabu vya dini ndo yanatupa muongozo.
Yani kazi zile za beki tatu zilee, ndo principal purpose yenu hapa duniani hakuna kingine. Na sisemi hivi kuwa despise, there is nothing like a mother's love,(I could stay for hours watching and admiring a mother's love akiwa na mwanae including wanyama wanavyo wa groom vitoto vyao), a woman that caters for her husband, apo Mungu ndo unaona ufundi wake alipokua anamuumba mwanamke. Kwa sector hio mwanamke ni guru hakoseagi yani, its like clockwork. Nimemaliza!
Sure, we all still have alot of choices. Chagua kikufaacho, ila usione alichokichagua mwenzio kuwa ni kibaya kwasababu tu hakikufai wewe. Ndio maana hata katika maelezo yako haujasema kuwa wanaume wote wanasafiri kwenda Afrika na Asia kutafuta wanawake.Uzuri ni kwamba sio wanawake wooote wanachagua kuenda the same path ya kua financial independent despite kua na elimu. Some women, preference yao ni kua submissive kwa waume zao na wana thamini sana values za traditional women.
Kwa maneno mengine, wanaume bado tuna options nyingi sana, ndomana ukifuatilia western countries kuna wanaume wamekua referred to as 'passport bros' uki wa exclude wale wanao conduct sex tourism, ninaowaongelea mimi hawa wengine ambao uwa usafiri overseas mazima na kutokurudi, nia yao kubwa ni kutafuta na kuoa traditional women (mostly Asians and Africans) na kuwakimbia modern women.
Hapana, yule wa awali kabisa alikuwa kwenye pozi la kushika shavu, rangi ya chungwa kwa ngozi, miwani na blauzi nyekundu ila huyu wa sasa ni tofauti kabisaMm n yule yule jana Leo na milele[emoji16]