Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

 
Mlongo, kwa mtindo wowote ule, ILE KAURI YA KUSEMA KILICHONIPA JEURI NI HELA ZANGU..!! Hakuna mtindo wa kutetea kauli hii..!! Yule ni mjinga mmoja tu anayedhani hela ndo mumewe..!!
Kwan uongo?? HELA ndo kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thubutuuu wanaume wachache wa kibongo wanaweza mudu Hilo[emoji135]wengi wanaoa kazi ya mwanamke,hela ya mwanamke,biashara ya mwanamke, degree ya mwanamke,wanasema wanaenda kusaidizana kujenga family Bora[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu eti wanataka kunyenyekewa, wanaishia kupewa taarifa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uongo 😅😅
Labda kama unataka ubuyu jambo ambalo si zuri kwenye majukwaa kama haya. Ila nimeanza kuwafahamu tangu wakiwa wanaishi Mbezi Beach nimeenda mara kadhaa pale Oasis Village and Club, Mbezi Beach ambayo Mercy mwenyewe ni mkurugenzi
 
Ukiona mwanamke yupo ivo ujue katengenezwa na mumewe
 
Km pesa ninayo, gari yangu na mafuta najaza mwenyewe, kila kitu najifanyia mwenyewee, sasa naanzaje kuagq?? Baba tamu atapewa taarifa tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman tutafute pesa, ndo raha ya kujitegemea unakua HURU.
no!
you are wrong koka.
cjui umefikiria nin pengine wewe ni product ya new world order.

pesa haiwezi tatua hilo janga.

ilitakiwa wanaume wadevelope devine masculine consciousness.
 
We kifupi ni Mario mke ndo mtafutaji
 
Dunia ya leo kuoa ni kujitafutia matatizo kikubwa ni kuwa na cash za kuwapelekea moto watoto wadogo namba E
 
Mimi najitegemea in fact, lakini hakuna maisha mazuri kama mke na mume kuwa marafiki, mume kumhudumia mke, na mke kumheshimu mume, naenjoy mume wangu akiniwekea vocha nikienda saluni lazima atauliza unataka sh ngapi kama nywele ni elfu 20 na ninajua siku hiyo hana kitu ntamwambia nahitaji 10 ingine nilimuachiaga dada wa saluni chenj yangu, au nyingine ntaongezea utanilipa.

Mwanamke unaesoma hapa elewa hata upate vipi hela please usimnyang'anye mwanaume uanaume wake,(manhood) aidha kwa maneno au matendo yako au kwa kujigamba , maintain his man hood please.

Huyo Mercy Mchechu alieongea hivyo amewapa sababu wanawake wandagaji kumtafuta mumewe.

Tuna maisha ya kawaida lakini mgeni akija kwangu kwa anachokikuta lazima atajifunza kitu, utashangaa sasa limama lizima likija linaniita pembeni eti unanyenyekeaje mwanaume atakuja kukusaliti, wanadam wote wanasaliti, ishi ndoa yako Leo sasa hivi, kwamba ulisalitiwa ilishapita utasalitiwa haijatokea bado, kwa hiyo tunaweza kusema mengi kutaka umaarufu lakini UKWELI upo pale pale, Mwanamke anaeaga ana nafasi kubwa ya kuaminimka kuliko asiyeaga, anayepewa hela kulingana na kipato cha mumewe anapendwa zaidi kuliko asiyepewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…