Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Huyo maza ni mpuuzi, mwanamke kuwa na hela haimpi sababu ya kutomuheshimu mumewe. Kuna wanawake na hela lkn bado wanaheshimu waume zao sijajua kakwama wapi hadi kuongea alichokiongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Napata faraja kujua kuna wanawake wenye heshima zao asee wachache wasio na akili basi tuwapuuze wasije wakafanya tukaona wote wameharibika
 
Huyu dada Mercy Luhanga. Mke wa Nehemia Mchechu. Ngonja nikamnyakie Mchechu nimpe heshima zote na mapenzi kama yote. Hahahhaha.Mbona Mercy atatia akili.Jamani ninatania tu,nimeokoka siwezi iba mme wa mtu.
 
Mme wake ni Nehemia Mchechu yule Boss wa Hazina kwa sasa. Yule aliyekuwa Boss wa Shirika la Nyumba Tanzania.
 
Mnapaswa kujua huyo mama yupo hapo kumuwakilisha shetani.

Siku hizi hao wamama hawana hofu hata na Mungu, wanakwambia mambo ya kuolewa yamepitwa na wakati kila mtu anaamua mwenyewe aolewe au aoe mwanamme (kula kulala or kiben ten).

Ndoa kwao siyo muhimu, wanaendesha maisha eti kwa sababu wana uwezo kifedha so pesa inaweza kuwapa chochote wakitakacho hata watoto.

Wanakwambia mume/NDOA ilikuwa zamani, sasa hivi maigizo.

Hapo kwenye hiyo event pale mbele angalia kuna mwanamme pale anajichekesha kwa kujilazimisha, hadi anajigeuza kama anafurahi but imemuumiza anajua siyo sawa ila kwa sababu kazungukwa na mashangingi hao hawezi sema kitu sababu atazomewa!.

📌 Teundelee kujifunza tabia ya mwanadamu.
 
Huyu anaamini kuwa free kipesa ndo kumdharau mme wako?Binafsi ukiwa free kipesa ni kusaidiana katika majukumu. Na si kumdharau mwenzako. Sema wanawake wenye ndoa za kikristo wengi wanadharau,wanajua mme hawezi ongenza mke mwingine.
 
Ukipenda kulelew lazima ukubali yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…