92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Napata faraja kujua kuna wanawake wenye heshima zao asee wachache wasio na akili basi tuwapuuze wasije wakafanya tukaona wote wameharibikaHuyo maza ni mpuuzi, mwanamke kuwa na hela haimpi sababu ya kutomuheshimu mumewe. Kuna wanawake na hela lkn bado wanaheshimu waume zao sijajua kakwama wapi hadi kuongea alichokiongea.
Sent using Jamii Forums mobile app