Kuna wanaume wanaishi kwenye ndoa ngumu nyie

Maneno aliyotamka huo bibie ndio uhalisia wa ulimwengu wa Sasa....ndio mfumo ulioandaliwa ili kuuangusha uanamume Duniani....na huo mpango unaratibiwa na mashirika mbali mbali Duniani na fedha nyingi zinatumika kufanikisha Hilo Kwa kutumia NGOs mbali mbali......

Hizi ni nyakati ngumu sana kwa wanaume....ipo vita ya kimya kimya inayopiganwa ili kuondoa mfumo wa kiume Duniani.......

Mfumo huo unaanzia ngazi ya familia mpaka kwenye sheria za serikali......kila sehemu mwanaume amewekewa vikwazo na akisema ajitetee hata Kwa kuongea anaaambiwa anamkandamiza mwanamke.......

Matokeo yake Sasa hivi wanaume tumebakia wapweke hatuna pa kusema.....kisemeo chetu ni chupa za bia na pombe kali na kwenye mechi za ligi mbali mbali....huko ndiko ambako kidogo tunaweza walau kutabasamu.........

Kitu ambacho wanawake hawakijui ni kuwa hichi wanachokipigania ni ndio shimo lao la maangamizi.....muda utaongea....
 
💯💯💯
 
Wanaume tafuteni pesa mnalialia sana.
.......pesa tunatafuta bibie, na kwenye hizi ndoa shida sio mwanaume kuwa na pesa, shida inaanza Kwa mwanamke kuwa na pesa, cheo........ni rahisi Kwa mwanaume tajiri au msomi was PhD kuoa housegirl alieishia la Saba na kudumu nae, ila sio mwanamke mwenye certificate kuishi kwa amani ktk ndoa na mwanaume wa fomfoo......ni rahisi Kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
 
Kwahiyo kwa research yako unaona wanaume wananyanyasika kuliko wanawake?
 
 
Asante sana we ntazana ntazana soma hii comment uielewe maana ndo uhalisia wenyewe huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…