safari mbalani
Member
- Dec 28, 2018
- 27
- 17
ulikuwa una hamu ya kufanyaKuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa una hamu ya kufanyaKuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Wengine mkitongozwa ndio inawarahisishia kukataa ndio maana wandewa wanatumia njia za mkato! Unapigwa miamala ikishakukolea unaitwa Kibla. Kazi inaishia hapo!Kwani kutongoza unatumia muda mrefu,unajua unapojiexpress hisia zako kwangu,kuna vitu vinaniteka akili lakini kutumia mbinu hizo hahahahaha nacheka kwanza
Huyo ulikuwa unamzimia tu, mwanaume mpaka kumfuata kwake ulikuwa ushajiandaa kwa kutiwa. Huyo ametimiza matarajio yako tu.Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nimecheka sana,yaani yeye kashajikatia hatimiliki tayari.[emoji23][emoji23]Kuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,
Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"
Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
Hii inaitwa we nidindosage sambi si sako mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji1] iringa moja iyooSisi wengine huwa tunavizia akienda kisimani, kisha tunakata ngwala, alafu tuna gegeda tu.
Na hapo hauwezi kuta Ke anapiga kelele kwamba anabakwa, basi ujue ndio kisha kubali hivyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo mkuu, Yani ni sawa na kwenda kuomba kazi ofisi isiyo itaji ata wale wa kujitolea, so we unacho amua kufanya ni kwenda kila siku kwenye iyo ofisi na kuamza kusifia iyo ofisiTatizo mkishatongozwa bila mbwembwe hizo mnaanza kulinga mara ooh mimi na mtu wangu mara sijui subir nijifikirie
Umesahau pale mnapotoa taarifa za kuumwa ili muulizwe umeenda hospitali unajibu hapana sina hela wangu.Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli
Angalia hapa
1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D
2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo
3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?
4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema
5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani
Ongezea zingine.......
Akikupiga kalenda sana anakuwa kaji disqualify sio!Muda mwingine utoe msaada namna ya wanawake wengi wanavyopenda tongozo liweje?
Mm sipend kutongoza mwanamke afu aniyumbishe sana, akija kukubali siwez kudumu nae.
Hahah Chalii umenichekesha kinoma!😂😂😂 ajiongeze sio!Sema na wewe dada unafeli. Mpaka mtu mmeanza mazoea na kubadilishana hadi namba kuna jipya gani ambalo hujaelewa hapo? Au ndio unabalehe?
Kingine mfano huyo wa miamala anakutumia wewe unakula tu hela unategemea kuwa anatoa sadaka au?
Jiongeze wewe ndio tatizo na sio wanaume wanaokutaka.
Hahaha hii atakuanika part 2Hakuna formula halisi ya mtongozo, kila mtu ni gia yake. Binafsi sina maneno mengi zaidi ya naomba show.
Hahah huyo alikuwa zaidi ya kiboko, yani mwanamke unaanza kumbato tu baada ya kumshika. Huyo mtu anakujua vyema kweli au ndio beki 3 wenu?Lengo linatimia lakini.
Nyie viumbe hamueleweki mnataka nini.
Mimi nilishasex na mwanamke bila kumtongoza wala kusifia.
Ilikuwa stor tuu tukaanza kushikana, mabusu, nikamtekenya k basi akaniambia tut..mban..
Mnadai tuna vituko wakati ninyi wenyewe hamna msimamo.
Muda wowote na kwa hali yeyote mnakubali penzi