Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kuna wanaume wanatongoza vibaya! Kero mpaka vituko

Kwani kutongoza unatumia muda mrefu,unajua unapojiexpress hisia zako kwangu,kuna vitu vinaniteka akili lakini kutumia mbinu hizo hahahahaha nacheka kwanza
Wengine mkitongozwa ndio inawarahisishia kukataa ndio maana wandewa wanatumia njia za mkato! Unapigwa miamala ikishakukolea unaitwa Kibla. Kazi inaishia hapo!

Plus, KE wengine wanapenda mtu awe direct ukianza mambo ya "nakukunda chande" anakuona mshamba,zuzu bwege mtozeni...utatangazwa kwa mashoga zake wakichambua mistari yako kila meseji unayotuma. Hii njia mpaka ukubaliwe inachukua mda na unaweza ukakaziwa vile vile ukajikuta umepoteza zawadi, pesa pamoja na mda! Bora direct kama mtu hakukubali atakataa direct.
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
Huyo ulikuwa unamzimia tu, mwanaume mpaka kumfuata kwake ulikuwa ushajiandaa kwa kutiwa. Huyo ametimiza matarajio yako tu.
 
Mimi huwa natongoza muda huohuo nikipata namba ya mwanamke ninayemhitaji,majibu yake tu yatanipa direction eidha niendelee au nipotezee,bahati mbaya sasa mwingine anaweza kukupa majibu yasiyoeleweka kwa siku ya kwanza,unampotezea kumbe alikuwa anakukubali kiaina,ile anaanza kuonesha kukuelewa ushamtoa kwenye ramani.Maisha kweli hayana fomula maalumu.
 
Kuna mmoja nilienda kusalimia kwake nikachelewa kurud ikabid nilale kwake ilipofika asubuh nikashangaa tunagegedana sijui hata alinitongoza saa ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna uyo dokta wa hospitali flani,alitokea kunisaidia tu,na kuwa ananijulia hali naendeleaje,mara honey unaendeleaje,mara mpenzi Mara mke wangu...mm nikawa napotezea tu...sasa kuna siku nilikuwa narudi kwenye vipimo nikamwambia nakuja na mama,

Sasa Hapo Ndo Alinishangaza na kunivunja mbavu maana aliniambia
"Sawa Lkn Usimwambie Mama Kuhusu Mahusiano Yetu"

Nilibaki Najiuliza Huyu Nae Kanitongoza Lini,Wanaume kwa Kujibebisha!!! Muwe Mnafunguka Acheni Kujirahisishia....
Nimecheka sana,yaani yeye kashajikatia hatimiliki tayari.[emoji23][emoji23]
 
Sisi wengine huwa tunavizia akienda kisimani, kisha tunakata ngwala, alafu tuna gegeda tu.
Na hapo hauwezi kuta Ke anapiga kelele kwamba anabakwa, basi ujue ndio kisha kubali hivyo....tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa we nidindosage sambi si sako mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji1] iringa moja iyoo
 
Haya yote mnayataka kwababu ya usumbufu wenu wa kutokuwa straight na kile mnachohitaji kwenye mahusiano.

Wanaume ni viumbe very straight ukiwa na upo straight. Tatizo maigizo yenu. Mtu huna bikra unaanza kuleta mapozi ya bikra wakati umeshatazama na nyuchi zaidi ya kumi za wanaume yofauti waliokupitia.

Mtu akija honest na wewe unaanza mletea mbwembwe as if huyo mtu hastahili kuwa na wewe.

Kama hivi vituko vinawakera kaeni mkijua ni matokeo ya namba mnawachukulia wanaume na kuwatreat hadi wanashindwa namna ipi sahihi ya kubehave......
 
Tatizo mkishatongozwa bila mbwembwe hizo mnaanza kulinga mara ooh mimi na mtu wangu mara sijui subir nijifikirie
Ndiyo mkuu, Yani ni sawa na kwenda kuomba kazi ofisi isiyo itaji ata wale wa kujitolea, so we unacho amua kufanya ni kwenda kila siku kwenye iyo ofisi na kuamza kusifia iyo ofisi
 
Wanaume wengine bwana,akianza kukutongoza au njia ambazo wanatumia kukutongoza ni vituko,huwa nabaki kushangaa kwa ukweli

Angalia hapa

1,Huyu yeye anakuomba namba, unampa,yeye anakuwa anakutumia pesa, hata bila kuomba unashtukia tu imethibitishwa,ukiuliza anakwambia nimekutumia tu,basi baada ya siku kadhaa anakwambia,nina hamu na wewe tukutane wapi ,au njoo Lodge Fulani au yaani hapo anataka gemu tu,unafikiria huyu mwanaume amenitongoza lini,D.D.D.D.D

2,Huyu mnakutana mnabadilishana namba,mnakuwa mnapiga stories za kawaida tu,siku moja anakuomba uende kwake kumsalimia,kufika anataka penzi,sasa unajiuliza umenitongoza lini yaani nachekaga wanaume wana mambo

3,Huyu yeye anaanza kukuita baby,sweet,love,mpenz,hata hajakutongoza,mwisho wa siku utakwambia njoo lodge fulani,unashangaa sasa huyu amenitongoza lini?

4,Huyu yeye anakutongoza na misifa juu,mara ajipigishe simu,anaulizia miradi,mara anauliza kuhusu gari lake ,hahahahaha,hapo anataka usikie alivyonavyo umkubalie mapema

5,Huyu yeye anakupenda,sijui anaogopa kukutongoza, anapenda sana kampani,kusindikizana njiani,baada ya siku kadhaa utasikia anawambia watu huyo ni dem wangu nilishakula zamani,hahahahaha yaani wanaume wanavituko jamani

Ongezea zingine.......
Umesahau pale mnapotoa taarifa za kuumwa ili muulizwe umeenda hospitali unajibu hapana sina hela wangu.

Yaan hapo inatafutwa hela kwa kusingizia kuumwa, sasa jiulize umetongozwa lini mpaka uanze kuomba hela?
 
Muda mwingine utoe msaada namna ya wanawake wengi wanavyopenda tongozo liweje?
Mm sipend kutongoza mwanamke afu aniyumbishe sana, akija kukubali siwez kudumu nae.
Akikupiga kalenda sana anakuwa kaji disqualify sio!
 
Kuna mdada alikujaga saloon ya kiume,

Alimleta mtoto kunyoa, so wakati yule mtoto ananyoa mi nikawa naongea na uyo mdada

Hata sikumbuki nilimwambia nn muda huo nikamshika mkono nikaenda kujipigia na at sent sikumpa[emoji3]
 
Sema na wewe dada unafeli. Mpaka mtu mmeanza mazoea na kubadilishana hadi namba kuna jipya gani ambalo hujaelewa hapo? Au ndio unabalehe?
Kingine mfano huyo wa miamala anakutumia wewe unakula tu hela unategemea kuwa anatoa sadaka au?
Jiongeze wewe ndio tatizo na sio wanaume wanaokutaka.
Hahah Chalii umenichekesha kinoma!😂😂😂 ajiongeze sio!
 
Alaaa...!!!
Tuongeze na nyingine!?

😂😂😂😂😂
 
Mimi nilitumia mbinu ya kumteka tu huyu bibie wangu.Alitekwa kama leo baada ya juma moja akalipiwa mahari na faini,mchezo ukaisha.Mambo gani ya kutumia muda mwingi kusimamisha minazi kutongoza au kutumia m-pesa nyiiingii?Upotezaji wa rasilimali kauli na fedha tu.
 
Lengo linatimia lakini.
Nyie viumbe hamueleweki mnataka nini.
Mimi nilishasex na mwanamke bila kumtongoza wala kusifia.
Ilikuwa stor tuu tukaanza kushikana, mabusu, nikamtekenya k basi akaniambia tut..mban..
Mnadai tuna vituko wakati ninyi wenyewe hamna msimamo.
Muda wowote na kwa hali yeyote mnakubali penzi
Hahah huyo alikuwa zaidi ya kiboko, yani mwanamke unaanza kumbato tu baada ya kumshika. Huyo mtu anakujua vyema kweli au ndio beki 3 wenu?
 
Back
Top Bottom