Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Ndo ushangae mm nawaambia ukweli wananipa mapovu mm mwanamme kama simpendi hata kufurahia penzi siwezi

Mapenzi upendo pesaa motisha tu

Demiss kumbuka kun watu wana nyota ya kuchunwa inabidi uwaelewe tu
 
Mm nitajijuaje kama mzuri sasa si mpaka nisifiwe na yule atakayeniona

Mm huyo kwangu ndo handsome ndo maana nimemsifia
Si tunakusifia tu kwa sababu una uke ila ile kuwa romantic ni hamna kitu........ngoja waje wakusifie ila sisi tunaokufahamu wala huna guts za kuponda wanaume wenye sura ngumu[emoji1] [emoji1]
 
Demiss kumbuka kun watu wana nyota ya kuchunwa inabidi uwaelewe tu
Mm pesaa ninazo za kutosha so kwann nijinyanyase nafanya kitu roho inapendaa

Mwanaume nikimpenda kweliiii
Mm pesa haina nguvu kwenye kupenda

Yan huwa nateseka kudate na mwanaume ambaye sijampenda hata kidogoo huwa nateseka nafsi sina raha ya kuwa nayee

Mateso sitaki
 
Si tunakusifia tu kwa sababu una uke ila ile kuwa romantic ni hamna kitu........ngoja waje wakusifie ila sisi tunaokufahamu wala huna guts za kuponda wanaume wenye sura ngumu[emoji1] [emoji1]
Kwahiyo wewe unataka nisifie kitu ambacho sikipendi wallah huwez badilisha mkuuu

Aisee kumbe unanijua naomba uniandikie uzi basi maana hapa watu wataona wachache
 
Afadhali umefunguka maan huwa kun viumbe vinaamni san pesa kwenye mamb hayo
 
Nishajua mwonekano wako!
 
Kwahiyo wewe unataka nisifie kitu ambacho sikipendi wallah huwez badilisha mkuuu

Aisee kumbe unanijua naomba uniandikie uzi basi maana hapa watu wataona wachache
Hongera kwa kusifia unachopenda,sinaga tabia ya kuandika uzi mimi endelea tu kutuponda sisi sura ngumu ila sisi ndo huwa tunapiga mambo kiukweli hao wenye sura nzuri wengi ni mashoga.....yaani linakupumulia kwa bao 1 au 2 baadae nalo linaenda kupumuliwa na wengine[emoji1] [emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Alafu wanaume vyeus mangala kama hivi wanakuaga wa moto sana kama pasi ya mkaa...Ila yote tisa kumi siku hizi midume ya jinsi hii inakuaga mchicha mwiba mfyuu sijui nani aliyewaroga...
 
Unaona, this is the type, nje matata, ndani moyoni soooft. Machachari mpaka midume inaogopa kusogea lkn anayesogea anafaidi kwelikweli. Watu wanabaki kusema Yule jamaa amefuata nini pale, demu pasua kichwa. Aahh [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ovyoooo
 
Yan ana makengeza akiona mtoto mzur unaweza kuhisi amuangaliii kumbe anazungusha kengeza lake kama mshale wa saaaaa

[emoji377][emoji377][emoji377]siachi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Urembo mwingii af unakuta mashine hohee bin haheee...sio siri heshima ya mwanaume mashinee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…