Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Huna lolote nilichogudua we ni maraya
 
Huna lolote nilichogudua we ni maraya
Haya kanianzishie uzi basi ili nipate watejaaaa
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Hiyo comment yako wataona wachache

[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Huna lolote nilichogudua we ni maraya
Haya kanianzishie uzi basi ili nipate watejaaaa
[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Hiyo comment yako wataona wachache

[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Unaweza kuta ni gay. Hamna kitu kinaniuma kama yule Millan Christopher kuwa gay. Mzuri yule mkaka. Mtamuu. Angekua bongo ningemtafuta nimle.
 
Demiss umenichekesha eti sura mbaya kama mchawi karaba wanangu wanaipendajee. Baaa mihanyenyee
 
Kama G wangu natamani hata nimle ,nimfiche hata mtu asimsalimie,we mwanaume wewe ukicheka sasa mimi hoii
Aiseee ulikuwa wapi uje kunisaidia

Nimepata tabu kuwaelewesha hawa watuu

Mwanaume mzur unataman yan umle tu kama chakula
 
Unaweza kuta ni gay. Hamna kitu kinaniuma kama yule Millan Christopher kuwa gay. Mzuri yule mkaka. Mtamuu. Angekua bongo ningemtafuta nimle.
Inaumaaa sana mtu unayempenda umle kama chipsy kuku anakuwa gay
 
Unaweza kuta ni gay. Hamna kitu kinaniuma kama yule Millan Christopher kuwa gay. Mzuri yule mkaka. Mtamuu. Angekua bongo ningemtafuta nimle.
Jamani na michel scofield wa prison break nae eti shogaa. Baaa
 
Haya ntakustua. Ila usije na FisadiKuu teh teh teh.

Maana alisema atampiga makofi Julius Magembe teh teh

Uje peke yako tu.

Sawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee naona unafukua makabur

Wala nitakuja mwenyewe tu fisad yupo dar itabid wewe uje dom aiseee

Najua wewe lazima una kampany na mahandsome utanigawia mmoja

Na mm nianze kuitwa mrs Us baby
 
Na wewe ntakuchukua nikupeleke US hahahahahahaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…