Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Mhhh jamaniii sasa sura zetu tuziweke wapiii
 
Mwanaume MASHINE bhana, sura hata MBUZI anayo!
 
Wanaume wa hivyo wanaringaga kuliko wanawake. Halafu wachoyo bala.

Sema wengi wanakuwaga wasafi Sana, hicho tu ndo nnachowapendea
Wakati mwingine sio wanaringa bali ni strategy ya kujitenga na wadada maana sio hao tu ila hata wanaume wengine huwa inatokea mtu anashobokewa na wadada wengi kiasi kwamba kuepuka shari anajikuta anakuwa anapunguza mazoea (na wadada wengi wanaamini mwanaume always ni mtu dhaifu kwa wadada kama atachekewachewa na kusogelewa ataonyesha ushirikiano kumbe kuna ambao wapo tofauti na akifanya hivyo ataonekana anaringa)
 
Miili ya kutengeneza Gym. Lakini wengi wa hawa ma-model ni mashoga. Hawana lolote.
 
Miili ya kutengeneza Gym. Lakini wengi wa hawa ma-model ni mashoga. Hawana lolote.
 
Hiyo picha hapo kitandani alikua anamsubiri nani hasa? ....maana formula inasema anapanda mwanamke kitandan then anafata mwanaume!!!!!................ BWABWA HUYO...
 
Hiyo picha hapo kitandani alikua anamsubiri nani hasa? ....maana formula inasema anapanda mwanamke kitandan then anafata mwanaume!!!!!................ BWABWA HUYO...
Duh mkuu umeng'amua vilivyo

Umeona mbali mno,
Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…