Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Mie sijambo mdogo wangu Kipenzi ila leo dada yako kawa tofauti kabisa na wewe mdogo wake. [emoji8]

Yeye anapenda wale wanaokaa mwezi hata kioo hawakijui kinafananaje. Teh. [emoji85] [emoji85]
Najua dada ipo siku nitawasifia na hao

Nahisi siku hiyo watanipa zawadi ya chocolate
 
Huyo itakuwa kanisaidia kupiga hii[emoji377][emoji377][emoji377][emoji377][emoji26]
Kaamua kuzooom[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kapiga cha Arusha lazima[emoji6]
 
Uzuri wa mwanaume ni mapenzi ya dhati kwa mkewe ,kuwajibika kiuchumi na kifamilia, kuwa kiongozi wa familia mwenye msimamo thabiti na mwenye hofu ya Mungu na siyo sura
Pamoja mkuuu kunywa sodaa nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…