Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Kuna wanaume wazuri yani mpaka unatamani kumla kama chakula

Arusha nilionaga mtu kama wa kuchonga vile nikabaki nautukuza uumbaji wa Mungu nikasema A meen!nikapita hivi.....
 
Kuna wanaume wamebarikiwa hapa duniani mpaka unajiuliza angekuwa chips kuku (wadada tunapenda ) ningekuwa namuagiza kila siku namla huyu nyam nyam. Yani mwanaume amebarikiwa jamani, ngozi nyeusi ya kuvutia kama chocolate, macho ya kimahaba, kifua mashalaaaah, dushe la wastani na kuteleza, tabasamu lake sasa uwii! Akiwa kitandani ndo hata usiulize, anapendeza pamba balaa.

d5aa344880d41810f9db16b87598e517.jpg


Jamani na hii baridi kwa kweli unaweza hata usihisi njaa ukiwa na mwanaume kama huyuu maana yeye ni shibe tosha. Wanaume wazuri wanafanana na chakula kizuri ninachopenda kula maana anavutia mpaka mapigo ya moyo yanaenda kasi speed 120 kwa saa.

Nyongeza:

Mwanaume ukiwa na msura mbaya uwe na pesa alafu usiwe na wivu maana sura lako linatisha kama mchawi karaba.

Demiss(cha mdeko)
Hizo zote niaje niaje ndo zinachanganya watu tu ili kipindi kikipita aaaah [emoji21][emoji21][emoji21][emoji57][emoji57][emoji57]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mdogo wangu Demiss hiyo rangi ya mdomo nimeipenda jamaani. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ukija huku uniambie nikuandalie ya kwako au nitakutumia kwa basi zawadi yako
 
Back
Top Bottom