Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

Naona umeamua kuja kunisema live bila chenga.[emoji1787]
 
Mtoa mada ana stress,
kapigwa kitu kizito tayar huko.

Alijiona kapata mr.perfect,
Pale Alipoahidiwa ndoa ni mwezi wa 7 mwaka huu, afu jamaa kala mbususu kaingia mitini.

Na kibaya zaidi,
Matangazo yalikua kila kona na michango ya watu keshakula tayar,

Chakusikitisha anakuja humu kututolea povu wanaume wote. Hili haikubaliki kabisa.

Nashauri,
Tumuhurumie bure uyu, Anastress[emoji26]

Mheshimiwa jaji,
Naomba kielelezo namba D4 kipokelewe na mahakama hii. Nawasilisha[emoji120]
Screenshot_20220311-212437.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mwanadada/mwanamama kafa kaoza kwa sifa za mwanaume uliyemtaja hapa

Usichokijua ni kwamba wakati mwingine upendo wa kweli huwa haulezeki/hauna sababu
Everything is relative or rather it depends
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
wakati ulifanya maamuzi yako ya kumpa mbususu, na kumtanulia miguu mpaka mwisho wa kona za kitanda kwa utamu wa mkuyenge alokupatia, hukutushirikisha humu.

Sasa yamekushinda unakuja kulalamika huku inatuhusu nini sisi?, malizaneni huko. Wakati mnadanganyana hatukuwepo.
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... ✍️
Ndiomana mimi nabutua mbele na nyuma tukiachana hata unisemeje ndio imetoka hivo niponipo sana ndani ya notocord muwasho utakulazimisha Baharia bado nipo sana. Va Fankulo we kisodoufufu. Kandhahari is a must
 
Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu.

Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu kwa kila mtu, kua mpole, kua msafi na ikiwezekana kua kama zoba kabisa ili upate angalau credits za kupendwa... [emoji3578]
Mapenzi ni upofu,ukiona mapungufu yote hayo kwa mwenza wako, ujuwe bado hujampenda, ndiyo maana hata akijamba kwa bahati tu utaona ushuzi wake unanuka Mavi yana subiri! Lakini ukimpenda Mtu,mbona huo ushuzi wake waweza hata jifunika nao ndani ya shuka lako!! Jitathimini kwanza,labda wwe ndiyo mwenye tatizo!!
 
Mtoa mada ana stress,
kapigwa kitu kizito tayar huko.

Alijinadi Sana humu jf,
Pale Alipoahidiwa ndoa ni mwezi wa 7 mwaka huu, afu jamaa kala mbususu kaingia mitini.

Na kibaya zaidi,
Matangazo yalikua kila kona na michango ya watu keshakula tayar,

Chakusikitisha anakuja humu kututolea povu wanaume wote. Hili haikubaliki kabisa.

Nashauri,
Tumuhurumie bure uyu, Anastress[emoji26]

Mheshimiwa jaji,
Naomba kielelezo namba D4 kipokelewe na mahakama. Nawasilisha[emoji120]View attachment 2147273

Sent using Jamii Forums mobile app
duh!!!! pole zake, dada wa watu kashaliwa kimasihara kwa danganya toto ya ndoa.
 
Back
Top Bottom