Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Kuna wanawake hawapendeki hata uwafanyie nini

Duh! Mwanamke wako amekukomalia ila jamaa umeamua kumlia buyu tu.

Nenda mkae chini muongee mtapate suluhisho la kudumu
 
Siku mkiniona na mume wa mtu nipigeni konzi.
Siwezi mimi akhaaa.

Na huyo shoga wa mama J sio mtu mzuri ndo mana sitak mazoea na majike mie hatupendani.

Braza Pond pole kwa kupelekwa mzobe mzobe😂
 
Sahv najaribu kumpunguza mawasiliano kdg kdg nione km ntazoea Bila yeye,maana mbadala wake nmecheat Sana ila sijapata hata wa kufika 75% ya yeye.
Anajua udhaifu wako, jitahidi kumuacha kabla hujachelewa bro atakuletea madhara makubwa usiamini
 
Siku mkiniona na mume wa mtu nipigeni konzi.
Siwezi mimi akhaaa.

Na huyo shoga wa mama J sio mtu mzuri ndo mana sitak mazoea na majike mie hatupendani.

Braza Pond pole kwa kupelekwa mzobe mzobe[emoji23]
Tatzo la shoga ale liko wap?
Kusema ukweli? Kuchat nae au vp?!
 
Tatzo la shoga ale liko wap?
Kusema ukweli? Kuchat nae au vp?!
Ni rafiki wa mama J na sio rafiki yako wewe.Alipaswa kuwa upande wa rafik yake na kumfichia siri yake.Na kama aliona anakosea angemkanya asikudanganye na sio kukwambia ukweli ili mzid kugombana.

Labda siko sahihi ila siwez kufanya alichofanya huyo dada.
She is a fake friend😂
 
She is a fake friend[emoji23]
Ndo akampakazie ana mahusiano na mimi, mpk kuharibu Mahusiano yake? [emoji848]
 
Back
Top Bottom