Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Mwanamke wako amekukomalia ila jamaa umeamua kumlia buyu tu.
Nenda mkae chini muongee mtapate suluhisho la kudumu
Anajua udhaifu wako, jitahidi kumuacha kabla hujachelewa bro atakuletea madhara makubwa usiaminiSahv najaribu kumpunguza mawasiliano kdg kdg nione km ntazoea Bila yeye,maana mbadala wake nmecheat Sana ila sijapata hata wa kufika 75% ya yeye.
Hao ndo wanawake mkuu, tuishi nao kitaalamu.Kuna vitu vinatia hasira Sana mkuu,
Hawa wanawake sometimes ni pasua kichwa sn, Unaweza fanya tukio Watu wakakuona chizi
Tatzo la shoga ale liko wap?Siku mkiniona na mume wa mtu nipigeni konzi.
Siwezi mimi akhaaa.
Na huyo shoga wa mama J sio mtu mzuri ndo mana sitak mazoea na majike mie hatupendani.
Braza Pond pole kwa kupelekwa mzobe mzobe[emoji23]
Ni rafiki wa mama J na sio rafiki yako wewe.Alipaswa kuwa upande wa rafik yake na kumfichia siri yake.Na kama aliona anakosea angemkanya asikudanganye na sio kukwambia ukweli ili mzid kugombana.Tatzo la shoga ale liko wap?
Kusema ukweli? Kuchat nae au vp?!
Huyo shoga yake mtafune usiishie kusingiziwa, fanya kweliTatzo la shoga ale liko wap?
Kusema ukweli? Kuchat nae au vp?!
kakupa nini uyo dada?Huyu mwanamke anajiona cake Sana Yaan afu kimwonekano wa kawaida Sana, angejua wapo wazur weng sn Zaid yake asaingejifaragua hivi
Ndo akampakazie ana mahusiano na mimi, mpk kuharibu Mahusiano yake? [emoji848]Ni rafiki wa mama J na sio rafiki yako wewe.Alipaswa kuwa upande wa rafik yake na kumfichia siri yake.Na kama aliona anakosea angemkanya asikudanganye na sio kukwambia ukweli ili mzid kugombana.
Labda siko sahihi ila siwez kufanya alichofanya huyo dada.
She is a fake friend[emoji23]