Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Mmoja wapo mimi , bora unipe namba ukani block mbele ya safari kuliko uninyime namba hadahrani tena kwa dharau. Utajuta lazima gauge yako ni ilazimishe kuishusha thamani mpaka ifike -1Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Akikupa namba ya baba unaweka ukaribu na baba yake kiujanjajanja mpaka unakuja kumla mwanae kimasihara. Ukipewa ya mume wake ndiyo zigi zagaBora wewe me nilipewa ya baba ake ni hataree[emoji28][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kelele zao zote hapa jf mimi nilifikiri pisi kali kumbe mazombiukutane nalidemu Libaya kama joannah na Hannah muuza vitumbua halafu yanakunyima namba[emoji16][emoji16][emoji16]nachekaga sana huko pm
wakati kunawatoto wazuri hawajistukii walanini wananipa ninacho taka coz mi ni handsome boy
Mummy βΊοΈβΊοΈππ€©π₯° . Nimekumiss sana π.ππππππππ³π³π³π³π³π³
Miss u too darlin, Mwanza tuko poa kabisa.Mummy βΊοΈβΊοΈππ€©π₯° . Nimekumiss sana π.
Nipo sana ila nimetingwa sana za mwanza dear π
Yes it's your son ππMiss u too darlin, Mwanza tuko poa kabisa.
Samahani ni kijana wangu au ni nani?
πππππ
Ooooooh nimekumic sana ww.Yes it's your son ππ
Niko vyedi TU mummy . Nimetingwa TU kidogo ww je? ππOoooooh nimekumic sana ww.
Unaendeleaje lkn?
Na nyie huwa mnachekesha muda mwingine. Mwanamke mmoja unakuta kwa siku anaombwa namba na wanaume hata kumi kwa hiyo awe anatoa tu kisa kuwaridhisha nyie? Akitoa namba kwa hao wote mnamuita malaya, akikataa utaskia kauli kama hiyo yako hapo juu.Baadae wanahanza kuhaha kwa makanisa ya kihuni wakitaka ndoa
Me niko poa busy muda mwingine.Niko vyedi TU mummy . Nimetingwa TU kidogo ww je? ππ
Kha unatongizwa na wanaume kumi aisee kweli mbususu anytime inagegedwa tuu. Kweli nimeamini mwanamke always knows her next bf.Na nyie huwa mnachekesha muda mwingine. Mwanamke mmoja unakuta kwa siku anaombwa namba na wanaume hata kumi kwa hiyo awe anatoa tu kisa kuwaridhisha nyie? Akitoa namba kwa hao wote mnamuita malaya, akikataa utaskia kauli kama hiyo yako hapo juu.
Alafu kingine kinachonichekesha unakuta mwanaume anaelalamika hajapewa namba utamskia ooh usipoolewa usirudi kunitafuta kana kwamba ana sifa hata kidogo ya kuwa mume kumbe ni muhuni tu. Kuna muda muwe mnavaa viatu vyetu tunatongozwa na wengi hatuwezi gawa gawa namba kama njugu eboo nyie vipi???
πππ Nikipigwa utakuja kunisaidia?basi mwambie mnyime namba na umwambie ukweli tuu kuwa bwana eeh wee huna mvuto wa kugegedana atleast he knows he has no chance
Sio kuomba namba tu hata salamu pia ni ivyo ivyo, wakisalimiwa wanajibu huku wanaendelea na mambo yao, hivi ukisimama sekunde moja tu kufanya unachokifanya kwenye simu na kujibu salamu ya mtu unapungukiwa nini? Muda pekee ambao mwanamke ana-respond kwa heshima ni akiwa na shida tu either anashida ya hela au kuelekezwa njia ya anapokwenda.Wanawake wamejenga tendence kuwa kila mwanaume anayewaomba namba ni kwa lengo la kutongoza. Kama hujapendwa utajibiwa vibaya
Hawezi kukupiga bwana wee mpe ukweli tuu wa mambo basiπππ Nikipigwa utakuja kunisaidia?
Zombie sikutaji humu πππ baba mkwe ety?Akikupa namba ya baba unaweka ukaribu na baba yake kiujanjajanja mpaka unakuja kumla mwanae kimasihara. Ukipewa ya mume wake ndiyo zigi zaga
Kwani kuomba namba ya mtu kuna maanisha nini?Kuomba namba barabarani ni ushamba
Ww nawe ni mshamba tuKuomba namba barabarani ni ushamba