Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Pia kuna wanaume wana majibu mabaya sana tukiwanyima namba.
Mimi mwaka mpya tu hapa nimechambwa na mbaba ofisini sina hamu, nilikuwa mpoleeeee!
Mmoja wapo mimi , bora unipe namba ukani block mbele ya safari kuliko uninyime namba hadahrani tena kwa dharau. Utajuta lazima gauge yako ni ilazimishe kuishusha thamani mpaka ifike -1
 
ukutane nalidemu Libaya kama joannah na Hannah muuza vitumbua halafu yanakunyima namba[emoji16][emoji16][emoji16]nachekaga sana huko pm

wakati kunawatoto wazuri hawajistukii walanini wananipa ninacho taka coz mi ni handsome boy
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kelele zao zote hapa jf mimi nilifikiri pisi kali kumbe mazombi
 
Baadae wanahanza kuhaha kwa makanisa ya kihuni wakitaka ndoa
Na nyie huwa mnachekesha muda mwingine. Mwanamke mmoja unakuta kwa siku anaombwa namba na wanaume hata kumi kwa hiyo awe anatoa tu kisa kuwaridhisha nyie? Akitoa namba kwa hao wote mnamuita malaya, akikataa utaskia kauli kama hiyo yako hapo juu.

Alafu kingine kinachonichekesha unakuta mwanaume anaelalamika hajapewa namba utamskia ooh usipoolewa usirudi kunitafuta kana kwamba ana sifa hata kidogo ya kuwa mume kumbe ni muhuni tu. Kuna muda muwe mnavaa viatu vyetu tunatongozwa na wengi hatuwezi gawa gawa namba kama njugu eboo nyie vipi???
 
Kha unatongizwa na wanaume kumi aisee kweli mbususu anytime inagegedwa tuu. Kweli nimeamini mwanamke always knows her next bf.

Wee toa namba acha maneno bwana sasa namba kweli ni kitu cha kumyima mwanaume? Haya basi mwambie mnyime namba na umwambie ukweli tuu kuwa bwana eeh wee huna mvuto wa kugegedana atleast he knows he has no chance
 
Wanawake wamejenga tendence kuwa kila mwanaume anayewaomba namba ni kwa lengo la kutongoza. Kama hujapendwa utajibiwa vibaya
Sio kuomba namba tu hata salamu pia ni ivyo ivyo, wakisalimiwa wanajibu huku wanaendelea na mambo yao, hivi ukisimama sekunde moja tu kufanya unachokifanya kwenye simu na kujibu salamu ya mtu unapungukiwa nini? Muda pekee ambao mwanamke ana-respond kwa heshima ni akiwa na shida tu either anashida ya hela au kuelekezwa njia ya anapokwenda.
 
Back
Top Bottom