Sijakata tamaa nilimjibu kistaarabu kabisa ila siachi kuwa naye karibu.Ustaarabu unalipa mkuu, kuna ke wanavutiwa na kukubali kwa jinsi tu ulivyo muelewa.
Mwingine hakunyimi namba kwa kudhamiria, kuna ke wanapenda ustruggle kuwapata sio kirahisi tu at 1st attempt akupe namba.
We uzuriiiii unasemaje? Nitajenga ukaribu nawe na hutojua then ntakushtua.Ukaribu kwa nani? Mimi hiyo nafasi huwezi kuipata. Sinaga ukaribu na wanaume zaidi ya mwanaume wangu tu.
Pole.
😂😂😂😂😂umekuja na makasiriko. Kwa hiyoo umenyima hela au🤣🤣Kwsni lazima.
Hujui kwanza kama anaumwa au amefulia kanyimwa hela kwanza mtu kamepauka hatari. Kanakusimamisha nikimkokoteni chake sio hasira hiyoo
Jaribu tena na tena unaweza elewekaSijakata tamaa nilimjibu kistaarabu kabisa ila siachi kuwa naye karibu.
Utakuwa uvimbe kama wa nifah [emoji16][emoji16]Ndo nakumbuka, mchana nimekutana na mrembo kumuomba namba kazingua[emoji1787] tako lenyewe hana ana uvimbe tuuu ule ye anasema tako sasa tako bila kiuno si ni uvimbee[emoji51][emoji51][emoji28]
🤣💯Jaribu tena na tena unaweza eleweka
Sio hela tu hata dudu pia leo anaumwa😂😂😂😂😂umekuja na makasiriko. Kwa hiyoo umenyima hela au🤣🤣
😂 dada shikamoo🤣🤣🤣🤣🤣nimependa majibu ya dada,huwezi kumuuliza mwenzio maswali kama Afisa wa NIDA
Da maua 😂Sio hela tu hata dudu pia leo anaumwa
😂😂😂kabisa mkuu.Utakuwa uvimbe kama wa nifah [emoji16][emoji16]
😂😂😂Pole mauaSio hela tu hata dudu pia leo anaumwa
Mi mwenyewe sio fala ujue? Nikikuangalia tu mara moja nakusoma nia yako na mchezo unaishia hapo.We uzuriiiii unasemaje? Nitajenga ukaribu nawe na hutojua then ntakushtua.
Sasa sikweli nikahandsome kama wewe anapenda kunukia kimdomo kitamu ila leo hela ya kwenda clinic hakajatoa na mashine kagoma nikaka yake ndio katoa . Hadi keroDa maua 😂
ngoja nisitoe mbinu we amini hivyo ila hakuna kisichowezekana.Mi mwenyewe sio fala ujue? Nikikuangalia tu mara moja nakusoma nia yako na mchezo unaishia hapo.
Mimi napokeaga nampa ndugu yangu anampeleka rumande hapigi tenaMi mwenyewe sio fala ujue? Nikikuangalia tu mara moja nakusoma nia yako na mchezo unaishia hapo.
Mkuu ulifufuka baada ya kufa kucheka
Mimi kahansamu tangu lini na hii sura yangu ngumu kama jiwe?Sasa sikweli nikahandsome kama wewe anapenda kunukia kimdomo kitamu ila leo hela ya kwenda clinic hakajatoa na mashine kagoma nikaka yake ndio katoa . Hadi kero
Asante ila natafuta mchepuko kabla sijaenda hukoo😂😂😂Pole maua
Acha hizo kila men ni handsome soon nakuletea dume la mbegu siitwi tena da maua nitaitwa mamaMimi kahansamu tangu lini na hii sura yangu ngumu kama jiwe?
Hongera utampatia jina languAcha hizo kila men ni handsome soon nakuletea dume la mbegu siitwi tena da maua nitaitwa mama