Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Huyo jamaa yako ajiangalie anaandaliwa bonge LA tukio
 
Nashangaa kuna Me wako makini sana na hivi viumbe, laiti wangejua mbali na kuishi kwetu kwingi ni neema za Mungu lakini kamwe usijichanganye kuelewa hawa Mama zetu utakiona cha mtema.............[emoji847]
 
Ndio hayo yapo pia lakin umeshaambiwa jamaa nikigagula🤣🤣inawezekana anacheza na akili ya mdada
 
Jamaa yako ameridi Kwa Gia ya kumuoa,

Ila akishakula Mzigo ,anasepa Tena.

Hakika Kuna Wanawake wapumbavu.
 
Huyo si mjinga. Huenda walikubaliana kuua hicho kimalaika. Vinginevyo ni mgonjwa au anatafuta mtoto mwingine. Kuna akina mama ambao walishakata tamaa ya kuolewa. Akipata wa kumpanda na kumpandikiza hajali yajayo.
Yaani wakubaliane waue kichanga chao alafu watafute kichanga kengine. Does it make sense mkuu?
 
Ulikua unamtaka shemeji yako ila kakuchomolea, pole sana maana imekuuma mpaka umeamua kuleta uzi uku jeiefu[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…