Kuna wanawake wajinga ila huyu ni mjinga nambari one

Dah umeandika kwa uchungu sana ndugu inaonyesha ulitamani sana waachane labda ulikuwa na wewe unaplan yako kwenye ilo penzi kwahyo kurudiana kumekuumiza sana yaani umecatch feelings kama umeibiwa mke 😂😂😂😂😂
 
Kabisa,haijapata tokea
 
Ulikua unamtaka shemeji yako ila kakuchomolea, pole sana maana imekuuma mpaka umeamua kuleta uzi uku jeiefu[emoji16][emoji16]
Hapana,tena nilikuwa najitahidi kuwasuluhisha,ningependa warudiane ila angalau ingepita arobaini tangu kichanga kifariki sio siku saba
 
Huyo mwanaume Ni mtegeaji wa maisha nahisi alikuwa analelewa na huyo mwanamke kupitia kibarua.

Sorry siyo mwanaume hana sifa za kuitwa mwanaume.. Ni wazi aliogopa Majukumu, baada ya msiba karudi usikute mtoto aliuwawa.. mwanamke akipenda anawehuka kuua mtoto sababu ya ub*oo kawaida Sana kwakee.
 
Unafaa kuwa spy umepita mulemule,jamaa alikuwa anamdangia sana huyo dada,mengine pia yanawezekana
 
Akhuuuu


Ila mapenzi ni upuuuuuzi
Mapenzi ni matamu, bila mapenzi maisha hayanogi, yaani unaishi bila kupenda/kupendwa sasa upo duniani kufanyaje. Coz hata ufanyaje ni ngumu kuwa kama Einstein, Newton, Zuckerberg nk, hata mapenzi yakushinde mkuu🤣
 
Mapenzi ni matamu, bila mapenzi maisha hayanogi, yaani unaishi bila kupenda/kupendwa sasa upo duniani kufanyaje. Coz hata ufanyaje ni ngumu kuwa kama Einstein, Newton, Zuckerberg nk, hata mapenzi yakushinde mkuu🤣
Mapenzi matamu?? Aaah we hujui vitu vitamu kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…