Kuna wasanii hawajawahi kuimba nyimbo mbaya

kala Jeremiah
denzel curry
Kendrick lamar
j cole
wu tang clan
21 savage
banzaji
fanuel sedekia
 
Wewe ndiye shabiki wake...mimi simshabikii...,hivyo mi nashangaa unavyomwacha mtu wako
Usikariri kwamba sijui wanishinda nn..
Mm ni shabiki wake ila sio shabiki wa nyimbo zake
 
1.Cally Rhodes.

2.Halsey

3.Alicia Keys

4.Charlie Puth

5.Eminem

6.2Pac

7.Ed Sheeran

8.Marc Antony

9.Bob Marley

10.Michael Jackson

11.Party Next Door

12.Elton John

13.Miley Cyrus

14.Zahara (song destiny).

15.B.I.G Notorious
 
Nakazia hapo kwa Dolly Parton na Sauti Sol.
 
Kwenye hii list kuna RUDE BOY na P Square ndo nini sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungesema kwa mujibu wa mawazo yako ingependeza zaidi, kwa jinsi ulivyoandika ni kama unalazinisha kila mtu awakubali hao wasanii wako
 
una matatizo sio bure, hivi ile nyimbo ya jux ft Vanessa Juu ina uzuri gani mpaka useme jamaa hajawahi kuimba utumbo,

nakusikitikia kwa kweli.. na huo ni mfano tu mbaya zipo nyingi mno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bulaya001,
Ukose kujisikitikia ww na familia yako unisikitikie mm unayesoma maandishi yangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…